Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki kivipi ndg hii team kocha anakosea kuipanga mtu kama MAHADHi alicheza vizuri sana mechi ya mazembe iweje asipangwe game ya mediama iliyochezwa dar akaingizwa dk zikiwa zimebaki chache leo pia kaanzia sub....Pamoja na Yanga tumezidiwa leo, ila watu mna wivu na Yanga duh!!! Punguzeni chuki na Yanga, nanyi mkacheze mlete hilo kombe tuone.
Mambo yakienda kombo kwenye timu, lazima atafutwe mchawi. Wako tayari unamtuhumu kocha, tungekuwa tunaongoza Yanga wala usingeliona hilo. Tumepoteza...Chuki kivipi ndg hii team kocha anakosea kuipanga mtu kama MAHADHi alicheza vizuri sana mechi ya mazembe iweje asipangwe game ya mediama iliyochezwa dar akaingizwa dk zikiwa zimebaki chache leo pia kaanzia sub....
yanga tukishinda mechi inayofuata tutasonga mbele kwa mbele....hakuna wa kutuzuia.Mods
Kuna uzi umekaa kitaalamu na majungu sio wa matokeo tafadhali ubakisheni huu uzi rasmi kwa matokeo ya hii mechi
kwa sasa ni Dk ya TANO
Medeama 1 YANGA 0
![]()
wanaume wanapo cheza mnatakiwa mtulie. huna haki ya kuongea chochoteUpo sahihi kbs hata huko shirikisho chupi haitulii kiunoni na miguu haibaniki imekuwa jamvi la shirikisho.