Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

DK 70 Tambwe magoli ameingia akipishwa na Chirwa
 
Pamoja na Yanga tumezidiwa leo, ila watu mna wivu na Yanga duh!!! Punguzeni chuki na Yanga, nanyi mkacheze mlete hilo kombe tuone.
Chuki kivipi ndg hii team kocha anakosea kuipanga mtu kama MAHADHi alicheza vizuri sana mechi ya mazembe iweje asipangwe game ya mediama iliyochezwa dar akaingizwa dk zikiwa zimebaki chache leo pia kaanzia sub....
 
medeama wanatoka nje ya mchezo ni nafasi kwa Yanga
 
sk 75 bado tatu yanga wanapata faulo karibu na lango
 
Chuki kivipi ndg hii team kocha anakosea kuipanga mtu kama MAHADHi alicheza vizuri sana mechi ya mazembe iweje asipangwe game ya mediama iliyochezwa dar akaingizwa dk zikiwa zimebaki chache leo pia kaanzia sub....
Mambo yakienda kombo kwenye timu, lazima atafutwe mchawi. Wako tayari unamtuhumu kocha, tungekuwa tunaongoza Yanga wala usingeliona hilo. Tumepoteza...
 
wamepaisha naona ni wazee wa matuta
 
Kinachonichoshaga na hizi timu za bongo (Simba, Yanga, Azam na Taifa Stars in general) ni jinsi wanavyokuwaga wanapewa HYPE kwenye vyombo vya habari wakati uwezo wao hata hauvutii kuuangalia kwenye TV. Ninachek mechi ya Yanga hapa mpaka ninawaonea huruma. Wachezaji ninaowasikiaga wanasifiwa hata sioni uwezo wao, muda wote wanaangukaanguka tu (hata ukiangalia maumbo ya wachezaji wa nchi za wenzetu ni makubwa tofauti na wachezaji wetu achilia mbali uwezo). TFF lazima ijiangalie upya wapi wamekosea ili warekebishe. Tunacheza mpira wa hovyo sana na wachezaji hawana afya kabisa, sijui wanafanyaga mazoezi/wanalishwa vitu gani. TZ tumejaliwa mashabiki tu na sio wachezaji (Timu).
 
wachezji wawili wa yANGA wapo chini kwa maumivu, dk 77
 
Mechi ya mazembe chirwa na Mahadhi waliperform vzr ila cha ajabu mechi ya mediama ya dar wakapigwa benchi ...leo anaingizwa mtu aliyekuwa majeruhi muda eti ndio aanze kulikuwa na haja gani ya kumwanzisha nadir
 
Too bad! Yanga wanaiaibisha sana nchi yetu.
 
Mods

Kuna uzi umekaa kitaalamu na majungu sio wa matokeo tafadhali ubakisheni huu uzi rasmi kwa matokeo ya hii mechi

kwa sasa ni Dk ya TANO

Medeama 1 YANGA 0

13626612_670913046397902_833462096677880897_n.jpg
yanga tukishinda mechi inayofuata tutasonga mbele kwa mbele....hakuna wa kutuzuia.
 
Back
Top Bottom