Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kosa wanalofanya yanga manji kajisahau kununua mechi za home tu, za kimataifa anashindwaje kuwanunua hao marefa bwana anakera sana
 
Kinachonichoshaga na hizi timu za bongo (Simba, Yanga, Azam na Taifa Stars in general) ni jinsi wanavyokuwaga wanapewa HYPE kwenye vyombo vya habari wakati uwezo wao hata hauvutii kuuangalia kwenye TV. Ninachek mechi ya Yanga hapa mpaka ninawaonea huruma. Wachezaji ninaowasikiaga wanasifiwa hata sioni uwezo wao, muda wote wanaangukaanguka tu (hata ukiangalia maumbo ya wachezaji wa nchi za wenzetu ni makubwa tofauti na wachezaji wetu achilia mbali uwezo). TFF lazima ijiangalie upya wapi wamekosea ili warekebishe. Tunacheza mpira wa hovyo sana na wachezaji hawana afya kabisa, sijui wanafanyaga mazoezi/wanalishwa vitu gani. TZ tumejaliwa mashabiki tu na sio wachezaji (Timu).
Mkuu ushawahi kuangalia afcon? Linganisha na euro utaona tofauti.
 
Nachoshangaa simba ndio inawakera badala ya kuweka Uzi wa simba v polisi kushabikia
 
Hahahahaaaa hujatulia babu ujue, sawa bwana. Mzima lakini Asprin eti paka oops!!! simba anagombea kombe gani? Ndondo Cup ama hahahaaa
Simba anagombea kombe la Ndodo, Yanga anawagawia wanaume raha...utamu.

Ni heri mjenga heshima nyumbani kuliko anayejiuza ugenini..

Mechi ijayo mtampa na kumpa tena mwarabu.... Khaaaa!!
 
FOLIMBI YA MWISHO

WAMEKUFA KIUME SANA
 
MBUYU kafurahia tatu badala ya TANO
 
Siyo mbaya vijana wamepanda ndege watarudi na ndege hao ndo wakimataifa
 
Dakika ya 90 + 5 : Medeama 3 - Young Africans 1


Medeama vs Young Africans yanga 3-1 all goals Highlights 26/07/2016

Source: mat fotbal PR
 
YANGA WANANYOOSHA VIUNGO BAADA YA MECHI
 
wa kimataifa wanashika nafasi ya ngapi jameni?>
 
Nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu....Yanga Afrika kilichotokea huko Ghana.......
Habari ziwafikie wanaYanga wote.....mazishi yatafanyika nyumbani kwa Marehemu mtaa wa jangwani......


Asanteni kwa kuja.....
 
Back
Top Bottom