Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushawahi kuangalia afcon? Linganisha na euro utaona tofauti.Kinachonichoshaga na hizi timu za bongo (Simba, Yanga, Azam na Taifa Stars in general) ni jinsi wanavyokuwaga wanapewa HYPE kwenye vyombo vya habari wakati uwezo wao hata hauvutii kuuangalia kwenye TV. Ninachek mechi ya Yanga hapa mpaka ninawaonea huruma. Wachezaji ninaowasikiaga wanasifiwa hata sioni uwezo wao, muda wote wanaangukaanguka tu (hata ukiangalia maumbo ya wachezaji wa nchi za wenzetu ni makubwa tofauti na wachezaji wetu achilia mbali uwezo). TFF lazima ijiangalie upya wapi wamekosea ili warekebishe. Tunacheza mpira wa hovyo sana na wachezaji hawana afya kabisa, sijui wanafanyaga mazoezi/wanalishwa vitu gani. TZ tumejaliwa mashabiki tu na sio wachezaji (Timu).
Simba anagombea kombe la Ndodo, Yanga anawagawia wanaume raha...utamu.Hahahahaaaa hujatulia babu ujue, sawa bwana. Mzima lakini Asprin eti paka oops!!! simba anagombea kombe gani? Ndondo Cup ama hahahaaa
FT 3-1mshindie wapi labda au unaota ndugu??