nikweli maana hata mashabiki ndo wanaifanya ikaifunga SIMBAYanga inapaizwa na washabiki wake na baadhi ya vyombo vya habari lakini kiuhalisia Yanga yakawaida sana.
Mnaibukia uzi bila kusoma juu....angalia SUPERSPORT 9Jamani chanel gan inaonyesha
Mapumziko.Mpira umeishaa!??
Kila baada ya kd 15 majamaa yanaloweka.. 😀 😀Yanga wapigwe tu hao... hakuna kitu hapo
Mungu !?tuombe Mungu tutaludisha tu