Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Sasa hvi hatuhitaji kushiriki ila kushindana mkuu,Ila bila kuwa bingwa wa bara hupati nafasi ya kushiriki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hvi hatuhitaji kushiriki ila kushindana mkuu,Ila bila kuwa bingwa wa bara hupati nafasi ya kushiriki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga anauhakika ndio maana tunamngoja yeye aje atukabidhi mwenyeweWivu tu, na ubingwa bado hamna uhakika...
Vipi kama tukishandana na tukashindwa? Si lazima tuanze tena frm the scratchSasa hvi hatuhitaji kushiriki ila kushindana mkuu,
Angli msije mkapapaswa, sa ivi hatuna presha...Yanga anauhakika ndio maana tunamngoja yeye aje atukabidhi mwenyewe
😛😛😛Sasa hvi hatuhitaji kushiriki ila kushindana mkuu,
Kanuni za caf zinaturuhusu kushiriki ubingwa tukibeba ubingwaVipi kama tukishandana na tukashindwa? Si lazima tuanze tena frm the scratch
Hata hizo 300 Sio mbayaTuwekane sawa hili
kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300
Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million
kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
Utashindana wkt haumoSasa hvi hatuhitaji kushiriki ila kushindana mkuu,
Mbona unakubali kabla yakufuatilia kwanza?Hata hizo 300 Sio mbaya
Hiyo ela ni nzuri tatizo madeni tuHata hizo 300 Sio mbaya
Hata hizo 300 Sio mbaya
Ni rahisi Yanga kubeba ubingwa wa VPL kuliko huo.Boniphace Bembele Ng'witukom3947 said:Kanuni za caf zinaturuhusu kushiriki ubingwa tukibeba ubingwa
Tuna ugonjwa mechi za mwisho ila round atakaeleta mzaha razima akapimwe mkojoAngli msije mkapapaswa, sa ivi hatuna presha...
Mkuu, ni 2-1 Aggregate.Oyee kwa kuchomwa moja?
Mikia uyo mkuu amepagawa tayari wacha tumfariji tuMbona unakubali kabla yakufuatilia kwanza?
Tanzania yenyewe inadaiwa trililion 40+Hiyo ela ni nzuri tatizo madeni tu
Wa michangani Endeleeni kujifarijindyo ingawa karibu zote zitaishia kwenye kusafiri kwenye izo mechi za makundi
Taifa stars ndio huwa wanawakilisha nchi.ebu niambie kamusoko na tshishimbi walikua wanawakilisha nchi gani paleHaina uhusiano we subirini tar 29. Ila leo tulikuea pamoja Kama nchi, japo sijui Kama nyie kandambili huwa mnatutakia mema kwenye michezo ya kuwakilisha nchi. Otherwise kandambili hongereni ila tafuteni makazi ya muda maji bado yamejaa jangwani.[emoji225] [emoji226] [emoji227] [emoji228] [emoji229]