Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Tuwekane sawa hili

kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300

Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million

kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
Hata hizo 300 Sio mbaya
 
Boniphace Bembele Ng'witukom3947 said:
Kanuni za caf zinaturuhusu kushiriki ubingwa tukibeba ubingwa
Ni rahisi Yanga kubeba ubingwa wa VPL kuliko huo.
Njooni mkaze buti lolote linawezekana
 
Hongera sana viongozi wachezaji wanachama wapenzi Na wananchi wote wa Tanzania!mmedhihirisha nyie Ni wa kimataifa!hongera sana!
 
Haina uhusiano we subirini tar 29. Ila leo tulikuea pamoja Kama nchi, japo sijui Kama nyie kandambili huwa mnatutakia mema kwenye michezo ya kuwakilisha nchi. Otherwise kandambili hongereni ila tafuteni makazi ya muda maji bado yamejaa jangwani.[emoji225] [emoji226] [emoji227] [emoji228] [emoji229]
Taifa stars ndio huwa wanawakilisha nchi.ebu niambie kamusoko na tshishimbi walikua wanawakilisha nchi gani pale
 
Back
Top Bottom