Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli.. halafu hawamove kwenda mbele kwa malengo.viungo wa Yanga kama vya pilau.. Makame alianza vizuri sasa hivi anamwiga Papii. Feisal hajaoneka.. Ule ukuta Ally Ally hayuko makini.
Bado goli moja la kujiunga kros ikipigwa na makameWatarudisha tu yanga wanashinda 2 - 1
Wanarudi Tena club bingwaHivi Yanga wakitolewa haya mashindano wanaingia kwenye yapi tena?
Ndondo kapu hatua ya makundiHivi Yanga wakitolewa haya mashindano wanaingia kwenye yapi tena?
Hivi Yanga wakitolewa haya mashindano wanaingia kwenye yapi tena?
Huku kocha wao sijui anatumia mfumo gani?Na leo hamna cha penalty maana ata kushambulia hawashambulii
Piga hao yeboyeboMabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya mtoano kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa Tanzania.
Kikosi cha Yanga
Farouk Shikalo
Juma Abdul
Ally Mtoni
Kelvin Yondani
Alli Alli
Feisal Salum
Mrisho Ngasa
Makame Rashidi
Sadney Urikhob
Pappy Tshishimbi
Mapinduzi Balama
UPDATES
Mpira umeanza
5" Yanga 0 - 0 Pyramids
10" Ally Mtoni anapiga shuti kali, golikipa wa Pyramids anaokoa
12" Pyramids wanashambulia lango la Yanga
15" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- hawa Pyramids ni warefu na wana miili mikubwa kuliko wachezaji wengi wa Yanga
20" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Yanga wanapata foul baada ya Juma Abdul kufanyiwa rafu; Yanga wanapoteza
22" Yanga wanakosa goli hapa, Ally Ally anapiga kichwa ila namna gani anapiga nje
25" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Mrisho Ngasa anapewa kadi ya njano
35" Yanga 0 - 0 Pyramids ----- Pyramids wanakosa goli hapa
40" Yanga 0 - 0 Pyramids
42" Goal; Pyramids wanapata goli la kwanza kupitia kwa Eric Traore
45" Yanga 0 - 1 Pyramids (Eric Traore)
Mapumziko: Yanga 0 - 1 Pyramids
Second Half
46" Yanga 0 - 1 Pyramids
50" Yanga 0 - 1 Pyramids ---- Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi; mchezaji mmoja wa Pyramids anapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
53" Yanga 0 - 1 Pyramids --- Fei Toto anapiga mpira lakini kipa wa Pyramids anaokoa na kuwa kona
Na kocha mwenyewe mgumu hata kufanya sub mana haonibwa kuingia,,,aliandaa makipa wawili sub wa kudaka penatiYanga nyie ukiangalia sub unashika kichwa.
Kweli Marcelo yule mfupi ndo aje alete mabadiliko ya kuifunga pyramid.
Ndondo cupHivi Yanga wakitolewa haya mashindano wanaingia kwenye yapi tena?