Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

KWISHA HABARI YAO
Narudi nyumbani ooooh narudi nyumbani ooooh narudi kwetu Tandale
 
Yanga hii ya Zahera ni dhaifu sana

Huyu kocha sijui kwanini Yanga wanamlea
 
Kwa kweli timu ya Yanga bado sana. Usajili mlioufanya hauna tija. Sajilini wachezaji wenye uwezo.

Wachezaji kama wakina Ngassa wamepitwa na wakati. Masikini Yanga timu ninayoipenda, kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom