Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

viungo wa Yanga kama vya pilau.. Makame alianza vizuri sasa hivi anamwiga Papii. Feisal hajaoneka.. Ule ukuta Ally Ally hayuko makini.
Kweli.. halafu hawamove kwenda mbele kwa malengo.
Mshambuliaji mmoja halafu winge hazitembei kabisa, Kocha afanye kitu tofauti na hapo wanapoteza
 
Hivi Yanga wakitolewa haya mashindano wanaingia kwenye yapi tena?
 
Piga hao yeboyebo
 
Yanga nyie ukiangalia sub unashika kichwa.
Kweli Marcelo yule mfupi ndo aje alete mabadiliko ya kuifunga pyramid.
Na kocha mwenyewe mgumu hata kufanya sub mana haonibwa kuingia,,,aliandaa makipa wawili sub wa kudaka penati
 
Ngasa kajifanya Ronaldinho,eti kauruka mpira ili kumzuga mwenzake kumbe kajizuga yy ,mwisho wa siku kachoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…