Filamu za Hollywood zinakudanganya dogo Marekani kakutana na mfupa kagongwa mpaka kaomba ceasefireHabari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran
Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Wewe mjinga kweli Hormuz yenyewe imefungwa na Marekani harafu wewe ilivyo Bumunda unawaambia Iran wakamatie hapohapo!!!Marekani bila nyuklia sawa na mtu anaetaka kula nyama wakati hana meno
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke Hormuz watoe kiasi ama wapite angani
Mimi naamini katika haya mapumziko, kila nchi (Iran, US na Israel) inaendelea kujipanga kisawa sawa. Vita vijavyo kama vitatokea vitakuwa vibaya sana.Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran
Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Blockade ya marekani Haina unafuu wowote Kwa meli kupita kwenye hicho kichochoro. Still mwisho wa siku lazima Iran na marekani wakae mezani kuridhia njian ifunguliwe.Wewe mjinga kweli Hormuz yenyewe imefungwa na Marekani harafu wewe ilivyo Bumunda unawaambia Iran wakamatie hapohapo!!!
Ukianza kutoa akiba yako ya siri ujue umeshikwa pabaya sana. Unakuwa huna jinsi unatoa kile cha uvunguni kabisa eg Us
Toka lini wanawake na watoto wanaenda kwenye uwanja wa vita?Kwa ajili ya kuulia wanawake na watoto mashariki ya kati
Wapeleke tu.. sisi tupo hapa kushuhudia mibaruzoHabari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji inayoitwa ya makombola huko iran
Gharama ya kila kombora kama hilo, ambalo lilianza kufanya kazi mwaka wa 2025 pekee, inakadiriwa kuwa dola milioni 15. Masafa yake yaliyotajwa ni kama kilomita 2,800, na linafikia kasi ya Mach 5. Faida zake ni kasi, usahihi, na mashambulizi yenye ufanisi dhidi ya malengo magumu kupasuka kama vile mapango ya kwenye milima kwa kombola hili linaweza kupenya ndani kabisa ya miamba na kuleta madhara makubwa!!
Unajua US ilichukulia poa Iran ikategemea itamaliza vita chap, matokeo yamekuwa siyo tarajiwa kbsLabda wanataka kulifanyia .ajaribio halisi huko Iran.
Marekani na Israel hawajawahi kutumia ballistic au supersonic misiles dhidi ya Iran, labda ni kwa kuidharau Iran. Muda wote wametumia mashambulizi ya ndege. Na Iran, kwa sababu ya hofu haijawahi kufanya shambulio lolote la ndege dhidi ya Israel na Marekani.
Lakini wataalam wa vita wanaeleza kuwa precision ipo kwenye mashambulizi ya ndege na siyo kwenye ballistic misiles, ndiyo maana unaona Iran ikirusha mamia ya makombora, lakini yanayoifikia target hayafiki hata 5%n na zaidi ya 90% yanadunguliwa na mengine kudondokea maporini.
KomboraHabari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran