Kombora la Fr. Kitima kwa wanaosifiasifia ujinga

Kombora la Fr. Kitima kwa wanaosifiasifia ujinga

Hii video inabidi iende viral sana na Magufuli ndio alianzisha huu ujinga
2339015_Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Huwa namuelewa sana Fr. Dr. Charles Kitima. Kiukweli anaitendea sana nafasi yake pale TEC. Siyo mtu wa kupenda kupindisha maneno.
Siyo kama Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam aliyecikia hatua ya kusema JPM alikuwa zaidi ya Yesu,Mtume Mohammed na hata zaidi ya Mungu.
 
Ujumbe huu wa Fr Kitima uwafikie wafuatao:-
1. Palamagamba Kabudi
2. Kangi Lugora
3. Aggrey Mwanri
4. Sheikh Alhad wa Bakwata Dar
5. Aalbert Chalamila
 
Back
Top Bottom