Kombora la Fr. Kitima kwa wanaosifiasifia ujinga

Kombora la Fr. Kitima kwa wanaosifiasifia ujinga

Fr. Kitima namkubali sana. Hakika TEC kumpa hiyo nafasi waliona kitu. Nilianza kumjua kuwa ni mtu makini tangu akiwa VC wa St. Augustine University, wakati huo alikuwa anahojiwa mara kwa mara siku za jumamosi na Phillip Mwihava clouds fm.
 
Fr umesema ukweli kabisa na Mungu akubariki.Huu ujinga wa kusifia samia anafanya vizuri wakati toka aingie anaharibu kilakitu inatukera sana sisi wananchi wazalendo
 
Tatizo ni kugeuza kanisa chimbo kama Nyamongo na Nyalugusu....pia wapo viomgozi wanatumoa makanisa kama NGO binafsi. Huwezi kusikia wakikemea wanaowapa ulinzi kupiga Hela za waumini wao. Kama wanadiriki kula kondoo wao watakuwa na uchungu wa nini kwa ukandamizaji wa Haki za binadamu au demokrasia wakati wenyewe ndio waharibifu nambari moja
 
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.

Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.

Hivi huyu padri malaya anataka tutoe siri alivyokuwa anafanya mapenzi na wanafunzi alipokuwa sauti mwanza?
 
Hivi huyu padri malaya anataka tutoe siri alivyokuwa anafanya mapenzi na wanafunzi alipokuwa sauti mwanza?
Kufanya mapenzi ni umalaya. Mbona Jacob Zuma alibaka na bado akawa raisi.

Unajua king mswati ana wake wangapi?, aha porojo Lete hoja.
 
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.

Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.

Acha ajenda za udini! Mtu mzima kukaa hapa na kuanza kujivunia udini ni ujinga.
 
Acha ajenda za udini! Mtu mzima kukaa hapa na kuanza kujivunia udini ni ujinga.
Udini wangu ni upi hapo Mzee?

Matamshi ya Bashiru ally na Huyu jamáa wametofautiana wapi?

Au Kwa kuwa Huyu ni padre unaona Udini
 
Viongozi wengi wa Dini Katoliki&Waislamu wamegeuka "Ass-kisser" "idiot" wanasifia upumbavu tu
Sasa hii imetoka wapi?

Umechanganya uji na makande kuna yule kiongozii wa dini aliye msifu mwenda zake kuwa ni zaidi ya Yesu alikua kiongozi wa dini gani?

Huyu Fr. Kitima ni kiongozi wa dini gani?

Acha mihemko
 
Ungekuwa unafuatilia mikutano ya Rais wa wakati huo na Viongozi wa dini, na huyo Padre kuhudhuri! au sehemu yoyote ile ambako alipewa nafasi ya kutoa neno/kuuliza swali; usingeuliza hili swali lako.
Kuna wanao fata upepo kama bendera wao hawafatilii mambo wanakurupuka tu kwa mazoea
 
Hii video inabidi iende viral sana na Magufuli ndio alianzisha huu ujinga
Sasa kama aliyeanzisha ujinga hayupo kwa nini waliopo wanaendeleza ujinga.

Tuache kumlaumu marehemu kwa kiwaficha wajinga kwenye kivuli cha Magufuli.
 
Back
Top Bottom