Ungekuwa unafuatilia mikutano ya Rais wa wakati huo na Viongozi wa dini, na huyo Padre kuhudhuri! au sehemu yoyote ile ambako alipewa nafasi ya kutoa neno/kuuliza swali; usingeuliza hili swali lako.Enzi zile alikuwa wap
Unafik wa viongozi wa din tunaujua
Sijui kwa nini mtu akitoa hoja yenye mantiki, haraka watu wanasema huyo ni CHADEMA! Ina maana kwenye vyama vingine hakuna wenye upeo, hekima na akili?Lakini huyu ni CHADEMA wazi wazi.
Tukuulize wewe ulikuwa wapi wakati Kitima akikemea utawala wa Magufuli kwa ukatili.Enzi zile alikuwa wap
Unafik wa viongozi wa din tunaujua
Kuna uwezekano ccm wanaiogopa sana CHADEMA! Maana ukiwakosoa, au kutofautiana nao kwa hoja! Basi wewe ni CHADEMA!Sijui kwa nini mtu akitoa hoja yenye mantiki, haraka watu wanasema huyo ni CHADEMA! Ina maana kwenye vyama vingine hakuna wenye upeo, hekima na akili?
Alimwambia lissu anamrekodi na Kwenye vita wanajeshi wanajua cha kufanya akamalizia kwà kusema this is government kumbe mungu anayake leo hii lissu mzimaaaaa yeye amelowa amelooowa ameeeloooowaHivi Ikipita siku bila kumtaja huyo mwamba k yako huwa inakuwasha?muache apumzike huko aliko
Kwa hapo ulipo we haramu?Yule mbwa ndiyo kainajisi nchi
Huyu Kitima hata enzi za giza alikuwa ananyoosha maelezo tena mbele ya dhalim mwenyewe.Enzi zile alikuwa wap
Unafik wa viongozi wa din tunaujua
Ndiyo maana yake, kama huko CCM ndiyo yamejaa mapooza tupuSijui kwa nini mtu akitoa hoja yenye mantiki, haraka watu wanasema huyo ni CHADEMA! Ina maana kwenye vyama vingine hakuna wenye upeo, hekima na akili?
Bila kumtaja magufuli huwezi kunya?
Ni CCM.Kwa ujumbe huu wa Fr Kitima ina maana kuwa kuna chama ambacho watu wake (almost asilimia 95) ni wanafiki wa kupindukia!
Tatizo jamaa wanaolengwa hapo huwa hawapendi kusikia wakikosolewa kwa namna yeyote ile ! Na ukikosoa unaweza ukashughulikiwa kwa namna watakayoona wao itakunyamazisha !! Nchi imeshaharibiwa hii ni kweli asemavyo Father 🙏🙏👍Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Ndipo mahali hii Nchi ilipofikia !!Sijui kwa nini mtu akitoa hoja yenye mantiki, haraka watu wanasema huyo ni CHADEMA! Ina maana kwenye vyama vingine hakuna wenye upeo, hekima na akili?
Watoke wapi.fanya utafiti utagundua.uko kwingine ni mapambio ya kusifu na kuabudu uku ujinga ukitamalaki.Sijui kwa nini mtu akitoa hoja yenye mantiki, haraka watu wanasema huyo ni CHADEMA! Ina maana kwenye vyama vingine hakuna wenye upeo, hekima na akili?
Unfiki wa kisiasa ulikuwepo tangu awamu ya kwanza musizushie kuwa ndiyo umeanza awamu hii.Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Niambie ni kiongozi gani wa dini aliyemsifia Magufuli?, Magufuli aliwachungulia sana hawa viongozi wa dini kuhusu misamaha ya kodi na walimchukua sana.Hii video inabidi iende viral sana na Magufuli ndio alianzisha huu ujinga
Pengo alishanyooka,, baada ya Awamu ya tano, pengo alitia akili kichwani,,Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Magufuli alikua hana mzaha mzaha,, alikua haangalii cha askofu, shehe, au padri,, wote walinyooka kama rula,,Niambie ni kiongozi gani wa dini aliyemsifia Magufuli?, Magufuli aliwachungulia sana hawa viongozi wa dini kuhusu misamaha ya kodi na walimchukua sana.
Yule mwamba alipiga kidole cha kati ndio maana haishi vinywani mwenu
Hili nalo nilisifiaji halijui hata haki yake na ukiona jitu haliwezi kujua jema na baya ulimwengu huu jua ni poyoyo tu.Lakini huyu ni CHADEMA wazi wazi.
Yule mzee kavimbiwa kupita kiasi anajibu waandishi wa habari bila adabu utadhani hii nchi ni ya ukoo wake, elimu zero kabsaa.Utafikiri uyo magu bado yupo hai[emoji23][emoji23][emoji23] achana nae mshamba uyo!!!! Alafu hakuna kitu kinanikera kama hii tabia ya sasa kusia sifia mfano juzi mzee makamba mpaka kaongea upuuzi kisa kusifia...!!!