moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
Hivi huyu padri malaya anataka tutoe siri alivyokuwa anafanya mapenzi na wanafunzi alipokuwa sauti mwanza?Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Kabisa.....unafiki na uchawa unatuharibia nchiKwa ujumbe huu wa Fr Kitima ina maana kuwa kuna chama ambacho watu wake (almost asilimia 95) ni wanafiki wa kupindukia!
Kufanya mapenzi ni umalaya. Mbona Jacob Zuma alibaka na bado akawa raisi.Hivi huyu padri malaya anataka tutoe siri alivyokuwa anafanya mapenzi na wanafunzi alipokuwa sauti mwanza?
Acha ajenda za udini! Mtu mzima kukaa hapa na kuanza kujivunia udini ni ujinga.Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Udini wangu ni upi hapo Mzee?Acha ajenda za udini! Mtu mzima kukaa hapa na kuanza kujivunia udini ni ujinga.
Sasa hii imetoka wapi?Viongozi wengi wa Dini Katoliki&Waislamu wamegeuka "Ass-kisser" "idiot" wanasifia upumbavu tu
Kuna wanao fata upepo kama bendera wao hawafatilii mambo wanakurupuka tu kwa mazoeaUngekuwa unafuatilia mikutano ya Rais wa wakati huo na Viongozi wa dini, na huyo Padre kuhudhuri! au sehemu yoyote ile ambako alipewa nafasi ya kutoa neno/kuuliza swali; usingeuliza hili swali lako.
Sasa kama aliyeanzisha ujinga hayupo kwa nini waliopo wanaendeleza ujinga.Hii video inabidi iende viral sana na Magufuli ndio alianzisha huu ujinga