Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabsa MKUU hao ni Alliens wanaoua watu sio Mother RussiaSisi tunachojua Russia kaishiwa Silaha,na nyie wenyewe mlituhabarisha.
Hapo kuna watu nchi nyingine ndio inafanya hivyo Russia wanampakazia tu
Barozi wa Russia nchini Merikani amekwisha sema kwamba jeshi la Ukraine ndilo linalo husika katika tukio hilo.Siyo raia hao, Russia hawezi kuua raia
Marekani ni malaika wa DuniaPutin ni shetani wa dunia ya sasa
he mkuu leo uliamkia kilevi gani, unapiga uongo na proPutin wanakupa likes za nguvuMkuu,ukiona Viongozi wa magharobi wanashirikiana ku-condemn tukio moja,basi wenye akili wanajuwa kwamba tukio hilo limekuwa staged na jeshi la Zelensky kutafuta sababu ya kulaani Putin - mbona majeshi ya ki-neo NAZI (Azov) yameanza kuvurimisha makombora waliyo pewa juzi juzi na utawala wa USA,makombora hayo yamelenga kwenye mkusanyiko wa watu wengi,mfano: Supermarkets,Mashule,Hospitali nk - Raia wengi kwenye majimbo ya kusini mwa Ukraine walio kombolewa nRra jeshi la Urusi na washirika wao wamepoteza maisha,cha ajabu sija wahi kusikia Viongozi wa magharibi wakilaani jeshi la Zelensky kuwaua Rais wasio na hatia
Kumbukeni mauuaji ya mji wa BUCHA alisingiziwa Putin,kalaaniwa na Biden pamoja na Viongozi wa Ulaya,baadae waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika kwa lengo la kutaka NATO iwe involved kwenye vita ili kusaidia jeshi la Ukraine linalo lemewa na VITA - na bado, nina uhakika jeshi la Zelensky litakuja ku-stage matukio mengi ya kupanga including Chemical attack kwa raia wake baada ya kupewa ushauri na USA, halafu wamulahumu Putin kwamba ndie anahusika, lengo ni kutafuta kisingizio cha kutaka NATO ingilie kati.
Binafsi namchunkulia Zelensky ni mtu mwenye EGO ya kijinga na hatari sana kwa amani Duniani, ujinga wake wa kag'ang'ania kupigana vita wakati anajuwa wazi kwamba hawezi kushinda vita bali anaweza kusababisha WW3 Dunia yote ikaangamizwa kwa mabom/makombora ya thermonuclear hilo tu linadhilisha Zelensky alivyo na akili za ajabu sana.
[emoji91][emoji28]Sisi tunachojua Russia kaishiwa Silaha,na nyie wenyewe mlituhabarisha.
Hapo kuna watu nchi nyingine ndio inafanya hivyo Russia wanampakazia tu
Wanataka kupoteza ushahidi, lakini vile wanaweza kuwa wana wanawafanyi vitendo hivyo kwa kuhofia kwamba pindi askali hao wakukodi watiwa mbaroni na jeshi la Urusi likiwabinya tu watatoa siri - hivyo ni heri wakauwawa mapema kabla hawajakamatwa na wanajeshi wa Urusi.Inavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa
A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.
hii ni propaganga moja ya hataree sana kutoka Russia na itawafanya wapiganaji wamluki woote kutokuiamini na kuikimbia UkraineInavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa
A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.
Lazima kuna nchi nyingine wamekosana nayo kwanza russia alikimbia kiev pili makombora yaliisha muda mrefu pia hatavkama yangekuwepo russia anatatizo la njaa kwa sasa na sizan kama ana hamu ya kupiga kwa njaa kali aliyonayoSisi tunachojua Russia kaishiwa Silaha,na nyie wenyewe mlituhabarisha.
Hapo kuna watu nchi nyingine ndio inafanya hivyo Russia wanampakazia tu
Kaka tafadhali amka katika ndoto zako. BUCHA yalitokea mauaji ya hovyo yaliyotekelezwa na askari wa Kirusi. Ukiandika "waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika" lete ushuhuda hata mmoja!!! HUna!Mkuu,ukiona Viongozi wa magharobi wanashirikiana ku-condemn tukio moja,basi wenye akili wanajuwa kwamba tukio hilo limekuwa staged na jeshi la Zelensky kutafuta sababu ya kulaani Putin - mbona majeshi ya ki-neo NAZI (Azov) yameanza kuvurimisha makombora waliyo pewa juzi juzi na utawala wa USA,makombora hayo yamelenga kwenye mkusanyiko wa watu wengi,mfano: Supermarkets,Mashule,Hospitali nk - Raia wengi kwenye majimbo ya kusini mwa Ukraine walio kombolewa nRra jeshi la Urusi na washirika wao wamepoteza maisha,cha ajabu sija wahi kusikia Viongozi wa magharibi wakilaani jeshi la Zelensky kuwaua Rais wasio na hatia
Kumbukeni mauuaji ya mji wa BUCHA alisingiziwa Putin,kalaaniwa na Biden pamoja na Viongozi wa Ulaya,baadae waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika kwa lengo la kutaka NATO iwe involved kwenye vita ili kusaidia jeshi la Ukraine linalo lemewa na VITA - na bado, nina uhakika jeshi la Zelensky litakuja ku-stage matukio mengi ya kupanga including Chemical attack kwa raia wake baada ya kupewa ushauri na USA, halafu wamulahumu Putin kwamba ndie anahusika, lengo ni kutafuta kisingizio cha kutaka NATO ingilie kati.
Binafsi namchunkulia Zelensky ni mtu mwenye EGO ya kijinga na hatari sana kwa amani Duniani, ujinga wake wa kag'ang'ania kupigana vita wakati anajuwa wazi kwamba hawezi kushinda vita bali anaweza kusababisha WW3 Dunia yote ikaangamizwa kwa mabom/makombora ya thermonuclear hilo tu linadhilisha Zelensky alivyo na akili za ajabu sana.
Nasubiri bado kusikia Urusi iliteuliwa na nani??? Labda na Bwana wa Majeshi Madhaifu? Maana ina matatizo kidogo kupata maendeleo??Hamna RAIA hata mmoja humo TAIFA kama RUSSIA haliwezi kuua RAIA
Ila RUSSIA kama TAIFA TEULE linanipa sana burudani maana linapiga kwenye mshono pale pale unapofuka moshi
Waache kuficha silaha kwenye sehemu za RAIA maana TAIFA TEULE LA RUSSIA halitasita kupeleka moto huko huko hatakama itakua nisehem zanyumba za ibada
Ila RUSSIA ananikosha zaidi anavyowatwanga hawa jamaa huku vikao vya VIKOBA vya g7 vikiwa vinaendelea kupiga UMBEA
GO RUSSIA GOOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimaliza opareshen tutawafufuaUrusi wanapiga mabomu hovyo kama kichaa hawana shabaha wana miss target matokeo yake ndiyo hayo unaenda kupiga mall.
Wanasema hii ni "operation" wakati kila siku wanaua raia wasio na hatia.
Iliteuliwa nawapenda haki na amani ulimwenguni koteNasubiri bado kusikia Urusi iliteuliwa na nani??? Labda na Bwana wa Majeshi Madhaifu? Maana ina matatizo kidogo kupata maendeleo??
Una ushahidi wowote? Kura ya wapenda haki na amani kuita Urusi "Taifa Teule? Ndoto yako tu.