Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

Mkuu,ukiona Viongozi wa magharobi wanashirikiana ku-condemn tukio moja,basi wenye akili wanajuwa kwamba tukio hilo limekuwa staged na jeshi la Zelensky kutafuta sababu ya kulaani Putin - mbona majeshi ya ki-neo NAZI (Azov) yameanza kuvurimisha makombora waliyo pewa juzi juzi na utawala wa USA,makombora hayo yamelenga kwenye mkusanyiko wa watu wengi,mfano: Supermarkets,Mashule,Hospitali nk - Raia wengi kwenye majimbo ya kusini mwa Ukraine walio kombolewa nRra jeshi la Urusi na washirika wao wamepoteza maisha,cha ajabu sija wahi kusikia Viongozi wa magharibi wakilaani jeshi la Zelensky kuwaua Rais wasio na hatia

Kumbukeni mauuaji ya mji wa BUCHA alisingiziwa Putin,kalaaniwa na Biden pamoja na Viongozi wa Ulaya,baadae waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika kwa lengo la kutaka NATO iwe involved kwenye vita ili kusaidia jeshi la Ukraine linalo lemewa na VITA - na bado, nina uhakika jeshi la Zelensky litakuja ku-stage matukio mengi ya kupanga including Chemical attack kwa raia wake baada ya kupewa ushauri na USA, halafu wamulahumu Putin kwamba ndie anahusika, lengo ni kutafuta kisingizio cha kutaka NATO ingilie kati.

Binafsi namchunkulia Zelensky ni mtu mwenye EGO ya kijinga na hatari sana kwa amani Duniani, ujinga wake wa kag'ang'ania kupigana vita wakati anajuwa wazi kwamba hawezi kushinda vita bali anaweza kusababisha WW3 Dunia yote ikaangamizwa kwa mabom/makombora ya thermonuclear hilo tu linadhilisha Zelensky alivyo na akili za ajabu sana.
Ukitaka kujua unafiki wa wester media anzia hapa uzuri watu wengi siku hizi wameamka usingizini wanajua propaganda zao
IMG_20220629_100325_911.jpg
 
Putin ni shetani wa dunia ya sasa
Achana na kumlaani Putin. Hivi hujaona waafrica wenzako wanachofanyiwa Spain ukaanza kulaani?

Akili zenu bado zinawatukuza wazungu ndio maana mnajitoa akili kuilaani Russia ila hamuoni wanayotendewa waafrica wenzenu ili nayo mlaani.

Utumwa wa kifikra ni mbaya sana
20220628_064356.jpg
20220629_094847.jpg
 

Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo.

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi hawakufanikiwa na inadaiwa watu 15 wamepoteza maisha na 58 wakijeruhiwa

Zoezi la uokoaji linaendelea na haijajulikana idadi ya watu ambao wamefukiwa na vifusi vya majengo hayo

Zelensky amesema hilo ni moja ya tukio baya la kigaidi kuwahi kutokea Ulaya.

Viongozi wa Umoja wa G7 wamelaani tukio hilo wakisema lilienga wananchi wa kawaida.

Source: CNN

----------------------

Russian airstrike hits busy shopping mall in central Ukraine, sparking fears of mass casualties

A Russian airstrike struck a bustling shopping mall in Kremenchuk, central Ukraine on Monday, setting the building ablaze and prompting concerns of mass casualties.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky said after the strike that up to 1,000 people were in the mall before the air raid was announced.

"Fortunately, as far as we know, at that time, many people managed to get out, they managed to get out, but there were still people inside -- workers and some visitors," he said.

At least 15 people were killed, according to a Telegram post from Dmytro Lunin, the head of the Poltava region military administration, who said earlier that the death toll could rise. At least 58 people were injured, Ukraine's State Emergency Services said.

Zelensky said in his nightly video address Monday that the rescue operation was ongoing and that "we must be aware that the losses can be significant."

Video from the scene showed heavy smoke billowing from the building, which was engulfed by fire. The mall measures about one hectare -- roughly the size of two football fields -- and the strike occurred around 4 p.m. local time, Solohub said.

"We don't know how many more people might be under the rubble," said Volodymyr Solohub, a regional official in the Poltava Oblast local administration.

Zelensky called the strike "one of the most defiant terrorist attacks in European history," in his evening video address.

"A peaceful city, an ordinary shopping mall with women inside, children, ordinary civilians inside."

"Only totally insane terrorists, who should have no place on earth, can strike missiles at such an object. And this is not an off-target missile strike, this is a calculated Russian strike -- exactly at this shopping mall," he said.

The attack targeted a site in central Ukraine far away from the epicenter of Russia's war, which has recently been focused in the east of the country.

It came as G7 leaders met at a summit in Germany that was mostly geared toward coordinating the Western response to Russia's invasion.

British Prime Minister Boris Johnson said from that meeting that the attack showed the "depths of cruelty and barbarism" of Russian President Vladimir Putin, the UK's PA news agency reported.

"This appalling attack has shown once again the depths of cruelty and barbarism to which the Russian leader will sink," Johnson said, according to PA.

In a tweet Monday, US President Joe Biden condemned the attack, saying, "Russia's attack on civilians at a shopping mall is cruel. We stand in solidarity with the Ukrainian people."

"As demonstrated at the G7 Summit, the U.S. along with our allies and partners will continue to hold Russia accountable for such atrocities and support Ukraine's defense," Biden added.

French President Emmanuel Macron called the attack an "abomination," in a tweet that included video of the burning shopping mall. "The Russian people have to see the truth," he said.

And Ukraine's Foreign Minister, Dmitro Kuleba, said on Twitter: "Russia is a disgrace to humanity and it must face consequences. The response should be more heavy arms for Ukraine, more sanctions on Russia, and more businesses leaving Russia."

Those issues were on the table at the summit in Germany. The G7 vowed to continue providing support for Ukraine "for as long as it takes" in a joint statement, and European Commission President Ursula von der Leyen told CNN on Monday that she would not "bet on Russia" winning the war.
Waziri wa ulizi wa Russia alisema pembeni ya hio supermarket kulikuwa na ghala la silaha na ndio lililolengwa na moto kusambaa hadu maduka ya jirani na CNN wamekata hicho kipande kwa makusudi
 
Kabisa, Utam!! Anayempinga mungu wako Putin, au anayekutwa kwenye njia ya mashujaa wa Taifa Teule, ndiye gaidi! Ni rahisi kabisa! Kama Chechniya, kama Syria, kama Ukraine, kama mtoto wa miaka 2 au mzee wa miaka 82. Gaidi!
Unaanza vijembe badala ya hoja
Kwaheri ntakua nasoma tu unachopost badala ya hii nnayokujibu ila
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka tafadhali amka katika ndoto zako. BUCHA yalitokea mauaji ya hovyo yaliyotekelezwa na askari wa Kirusi. Ukiandika "waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika" lete ushuhuda hata mmoja!!! HUna!
Kinyume wanahabari waliokwenda Bucha walisikia ushuhuda wa raia wa Bucha waliosimulia jinsi gani ndugu, majirani, watoto wao walivyouawa hovyo na askari Warusi.

Bomu lile kwenye duka halikuwa mauaji kwa makusudi, ni mfano to jinsi gani Urusi inatumia silaha nyingi za hovyo kwa sababu haina akiba ya kutosha ya mabomu janja (intelligent weapons - hizo ambazo tunaonyeshwa mara kwa mara na washabiki wa Putin humo).
Unaposikia neno CLASSIFIED uwe unaelewa kuna mambo mengi yanafanyika na kujulikana na wachache sana ili kujustify malengo flan ya watawala wao wanaita "collateral" mambo haya hujumuisha ku- sacrifice baadhi ya watu.
Kuio usijiaminishe eti haiwezekani
 
Unajua kabisa vitani moja ya target muhimu ni miundombinu ya usafirisha wa silaha kama viwanja vya ndege, bandari, reli na barabara

kwahio hata sishangai maana hata Iddi Amin alivunja daraja la kagera
its called decapitating the enemy
 
Lazima kuna nchi nyingine wamekosana nayo kwanza russia alikimbia kiev pili makombora yaliisha muda mrefu pia hatavkama yangekuwepo russia anatatizo la njaa kwa sasa na sizan kama ana hamu ya kupiga kwa njaa kali aliyonayo
HAPO NI KUMSINGIZIA RUSSIA AMBAYE HAYUPO VITANI

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Afu hata angekuwa na chakula silaha zake zina uwezo Mdogo Sana kufanya destruction Ukraine.
 
Hamna RAIA hata mmoja humo TAIFA kama RUSSIA haliwezi kuua RAIA

Ila RUSSIA kama TAIFA TEULE linanipa sana burudani maana linapiga kwenye mshono pale pale unapofuka moshi
Waache kuficha silaha kwenye sehemu za RAIA maana TAIFA TEULE LA RUSSIA halitasita kupeleka moto huko huko hatakama itakua nisehem zanyumba za ibada

Ila RUSSIA ananikosha zaidi anavyowatwanga hawa jamaa huku vikao vya VIKOBA vya g7 vikiwa vinaendelea kupiga UMBEA

GO RUSSIA GOOO

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAHAHA VIKOBA VINAWAKA MOTO
 
Ona maelezo kwa urefu yanayothibitisha uwongo katika jaribio la Urusi la kujitetea:




bbc.com


Ukraine war: Kremenchuk shopping centre attack claims fact-checked​


By Reality Check and BBC Monitoring

5-7 Minuten


By Reality Check and BBC Monitoring
BBC News
Kremenchuk mall after a Russian missile strike
Image source, Reuters
Image caption,
The aftermath of a missile strike in Kremenchuk
Within hours of the attack on a shopping centre in the central Ukrainian city of Kremenchuk, false and unproven claims began circulating online.
Stories were spread by Russian Telegram channels and by Dmitry Polyanskiy, Russia's deputy ambassador to the United Nations. They included rumours that the attack was "false" or "staged" - and were repeated on Russian television.
On Tuesday, Russia's defence ministry released a statement claiming the shopping centre was "non-functioning" and that the bombing of a nearby ammunitions dump sparked a secondary fire at the centre. Those claims were denied by Ukrainian officials.
Kremenchuk attack map

This claim is false. BBC reporters on the ground have spoken to shoppers and employees who were inside the building at the time of the attack.
Multiple posts listing details of missing people who were either working at the shopping centre on the day or went shopping there, were published in a local Telegram channel in the hours after the attack.
One pro-Kremlin "fact-checking" channel suggested that no photographs from inside the shopping centre had been posted on Instagram since March. However, a woman who lives in a nearby village and regularly goes shopping in Kremenchuk, told the BBC that the shopping centre had been "constantly open" and her family had visited it at least once a week.
Inside the shopping centre things appeared to be normal in a video filmed two days before the attack
Image source, Marina Doohova
Image caption,
Inside the shopping centre things appeared to be relatively normal in a video filmed two days before the attack
She also shared video she had taken at the shopping centre from 25 June, showing open shops and people walking inside the building. Other, similar footage posted online appears even more recent - including a YouTube video apparently filmed just a day before the attack, also showing shoppers and businesses open as normal.
A still from a video showing businesses open as usual two days before the attack
Image source, Marina Doohova
Image caption,
A still from a video showing businesses open as usual two days before the attack
Some Telegram channels claimed there were no women or children at the shopping centre - implying that the building had been turned into a military facility. That claim is false, according to several eyewitness accounts and online videos.
The Russian Defence Ministry claimed a strike on an arms storage facility detonated ammunition which set the shopping centre on fire.
"Western-manufactured weapons and ammunition stockpiled in the warehouse to be sent to a Ukrainian military grouping in Donbas were hit with a high-precision strike," the ministry said.
Ukrainian officials have denied there was a weapons depot nearby.
CCTV footage captured near a pond roughly 600 metres north of the shopping centre, on the other side of a factory building, shows two missile strikes in the area.
Matching the exact spots where the two missiles land in the CCTV video with aerial images of the area, it appears one missile hit close to the eastern end of the shopping centre, while the other struck the northern end of the factory, near the southern edge of the pond.
Media caption,
Watch: CCTV shows missile striking Ukrainian shopping mall
Satellite images of the area, along with a video released by Ukrainian President Volodymyr Zelensky provide further evidence that these were the locations of the strikes.
Kremenchuk attack map - north side, second missile

The factory mentioned by the Russian defence ministry is located roughly 300 metres north of the shopping centre. The buildings are separated by a wall, vegetation and rail tracks, making the claim that "secondary explosions" caused a large fire with multiple casualties in the shopping centre unlikely.
Media caption,
Watch: Drone footage shows the extent of the destruction at the shopping centre
According to the Ukrainian online publication Kyiv Independent, a press officer of the regional administration confirmed that the machinery plant had been hit, injuring two individuals.
Svitlana Rybalko, from the regional State Emergency Service, denied there were weapons stored at the facility."It's a place for making road equipment, machines for road construction," she told the BBC. "There's also a greenhouse nearby where workers grow cucumbers."

Claim: The attack was 'staged' or a 'provocation'​


Flames engulfing the mall in Kremenchuk
Image source, TELEGRAM/V_ZELENSKIY_OFFICIAL
Image caption,
Flames engulfing the mall in Kremenchuk
This claim contradicts the official Russian defence ministry statement - even though top diplomats such as Mr Polyanskiy, the deputy UN ambassador, described the Kremenchuk attack as "a new Bucha-style Ukrainian provocation" on Twitter.
There's simply no evidence - nor has any been offered - that Ukraine bombed the shopping centre, or that the attack was "staged".
It's the latest example of a common tactic used by supporters of the Russian government - throwing multiple, conflicting, evidence-free narratives out in the immediate aftermath of an attack.
The claim echoes other, debunked false assertions by Russia and its supporters, for instance that the attack on a maternity hospital in Mariupol and the killings of civilians in Bucha were somehow faked or staged.
In a Twitter message, Mr Polyanskiy said the attack "will be used by Ukraine to attract as much attention as possible through promoting [a] false version of what happened" and "my tweet doesn't contradict the explanation provided by Russian [Ministry of Defence]".
Reporting by: Olga Robinson, Shayan Sardarizadeh, Daniele Palumbo, Chris Partridge, Joshua Cheetham and Nick Beake.
line


War in Ukraine: More coverage​


Presentational grey line

Reality Check branding

Presentational grey line
 
BUCHA hakuchinjwa hata mjusi achaneni na PROPAGANDA
Kama kweli walichinjwa NATO kwanini hawajaingilia kusaidia RAIA kama walivyofanya kule LIBYA

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana niye mashabiki wa Putin mlitueleza juzi marehemu wa Bucha waliuawa na jeshi la Ukraine. Leo hakuna aliyekufa? Bwana shuka kidogo, rudi katika dunia halisi!
 
Jeshi la Putin kama kawaida wanakimbilia uwongo. Ona ramani hapa, inaonyesha walilenga hovyo (maana hawana silaha janja za kutosha ("intelligent bombs") kwa hiyi wanarusha roketi zao za zama za mawe hata katika miji penye watu. walikosa mara mbili ghala walioyolenga (labda!) wakaharibu supamarket,
View attachment 2276523
ona video imechukuliwa mtu akiwa kwa mall
 
Those issues were on the table at the summit in Germany. The G7 vowed to continue providing support for Ukraine "for as long as it takes" in a joint statement, and European Commission President Ursula von der Leyen told CNN on Monday that she would not "bet on Russia" winning the war.
Tunajaribu kulinganisha story
===
 
Back
Top Bottom