Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

he mkuu leo uliamkia kilevi gani, unapiga uongo na proPutin wanakupa likes za nguvu
 
Inavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa

A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.
 
Wanataka kupoteza ushahidi, lakini vile wanaweza kuwa wana wanawafanyi vitendo hivyo kwa kuhofia kwamba pindi askali hao wakukodi watiwa mbaroni na jeshi la Urusi likiwabinya tu watatoa siri - hivyo ni heri wakauwawa mapema kabla hawajakamatwa na wanajeshi wa Urusi.
 
wapalestina kila siku wana kong'otwa kama hivi na wa Israel lakini hakuna yeyote anaye paza sauti yake kwa kisingizio kuwa Israel ni taifa la Mungu hivyo lina ruhusa ya kuuwa 'kunguru ( mwaarabu) ' yeyote yule ulimwenguni, ebu waacheni na wazungu nao wachapane kidogo
 
hii ni propaganga moja ya hataree sana kutoka Russia na itawafanya wapiganaji wamluki woote kutokuiamini na kuikimbia Ukraine
 
Sisi tunachojua Russia kaishiwa Silaha,na nyie wenyewe mlituhabarisha.
Hapo kuna watu nchi nyingine ndio inafanya hivyo Russia wanampakazia tu
Lazima kuna nchi nyingine wamekosana nayo kwanza russia alikimbia kiev pili makombora yaliisha muda mrefu pia hatavkama yangekuwepo russia anatatizo la njaa kwa sasa na sizan kama ana hamu ya kupiga kwa njaa kali aliyonayo
HAPO NI KUMSINGIZIA RUSSIA AMBAYE HAYUPO VITANI

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kaka tafadhali amka katika ndoto zako. BUCHA yalitokea mauaji ya hovyo yaliyotekelezwa na askari wa Kirusi. Ukiandika "waandishi wa habari wa magharibi walikuja kubaini kwamba jeshi la Ukraine ndilo lilihusika" lete ushuhuda hata mmoja!!! HUna!
Kinyume wanahabari waliokwenda Bucha walisikia ushuhuda wa raia wa Bucha waliosimulia jinsi gani ndugu, majirani, watoto wao walivyouawa hovyo na askari Warusi.

Bomu lile kwenye duka halikuwa mauaji kwa makusudi, ni mfano to jinsi gani Urusi inatumia silaha nyingi za hovyo kwa sababu haina akiba ya kutosha ya mabomu janja (intelligent weapons - hizo ambazo tunaonyeshwa mara kwa mara na washabiki wa Putin humo).
 
Nasubiri bado kusikia Urusi iliteuliwa na nani??? Labda na Bwana wa Majeshi Madhaifu? Maana ina matatizo kidogo kupata maendeleo??
 
Iliteuliwa nawapenda haki na amani ulimwenguni kote

Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi wowote? Kura ya wapenda haki na amani kuita Urusi "Taifa Teule? Ndoto yako tu.
Kwa nini wateue nchi ambaye ni mkoloni mkubwa duniani (ardhi yote kutoka baada ya Moscow hadi Wladiwostok ni makoloni yake...)?
Nchi iliyoenda kuua watu wa Afghanistan, Georgia, Chechnya, Syria, Ukraine? (kwa ubaya na uwongo sawa jinsi Marekani iliua watu Iraki, Afghanistan, Vietnam) . . .
Nchi inayojaribu sasa kurudisha ukoloni wake juu ya Ukraine ? Na kufanya makelele ya kurudisha ukoloni Lithuania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…