AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Na mizinga ya nyuki,Mzee ni mkulima mzuri sana na ni mpiga kazi nimekuwa nae sana kwenye farm yake mwaka janaDodoma kwake analima zabibu.
Kuna picha yeyote ya kumbukumbu? Je ni lazima ADC atoke jeshini au anaweza kutoka kwenye vyombo vyengine vya ulinzi na usalama? Je nani anachagua ADC?Moja ya sifa za makachero ni ukimya. Amewahi kuwa ADC wa Nyerere.
Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.Kuna picha yeyote ya kumbukumbu? Je ni lazima ADC atoke jeshini au anaweza kutoka kwenye vyombo vyengine vya ulinzi na usalama? Je nani anachagua ADC?
Ni hii picha tu ndiyo iliyokuvutia mpaka ukaanzisha na uzi. Hakuna kingine. Na ndiyo maana hata sababu ya kumuulizia hujaiweka.
Wewe wasemaNi hii picha tu ndiyo iliyokuvutia mpaka ukaanzisha na uzi. Hakuna kingine. Na ndiyo maana hata sababu ya kumuulizia hujaiweka.
Duuh umenichanganya mkuu.Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.
Jicho analowapiga nyuki, production ya asali inaposhuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamtakia nini handsome boy
Sawa kikweteNa mizinga ya nyuki,Mzee ni mkulima mzuri sana na ni mpiga kazi nimekuwa nae sana kwenye farm yake mwaka jana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]Jicho analowapiga nyuki, production ya asali inaposhuka.