Komredi Mizengo Pinda yuko wapi?

Komredi Mizengo Pinda yuko wapi?

Moja ya sifa za makachero ni ukimya. Amewahi kuwa ADC wa Nyerere.
Kuna picha yeyote ya kumbukumbu? Je ni lazima ADC atoke jeshini au anaweza kutoka kwenye vyombo vyengine vya ulinzi na usalama? Je nani anachagua ADC?
 
Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.
 
Aongee nini wakati mwanae keshalamba uteuzi.
 
Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.
Duuh umenichanganya mkuu.

Hapo kwenye ADC na PSU.

Kwahiyo hata polisi anaweza kuwa ADC?
 
Back
Top Bottom