Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Pinda atafanya mizengwe atapindisha manbo dogo atapeterMwaka 2025 hawezi shinda kura za maoni CCM lkn Pinda atampitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinda atafanya mizengwe atapindisha manbo dogo atapeterMwaka 2025 hawezi shinda kura za maoni CCM lkn Pinda atampitisha
Nchi hii sisi watu wa ajabu kweli,tunataka muda wote tuwaoneNchi hii bana, mnataka kila mtu awe anapayuka tu.
Akisema na mpigwe tu mtaanza kulia
Kweli sikusoma between lines uzi huu kipindi hicho.Once a Cheka, Always a Cheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh umenichanganya mkuu.
Hapo kwenye ADC na PSU.
Kwahiyo hata polisi anaweza kuwa ADC?
Nchi hii sisi watu wa ajabu kweli,tunataka muda wote tuwaone
Viongozi wetu,hsta waliyostssfu
Majukwani,kwenye ma TV radio wakipiga
Sheria na na taratibu ndiyo hutoa uwezo huo.Duuh umenichanganya mkuu.
Hapo kwenye ADC na PSU.
Kwahiyo hata polisi anaweza kuwa ADC?
.... Maana hamna namna......Ukikahidi utapigwa tu na mimi nasema wapigwe tu...baada ya hapo kachero alilia sana bungeni
Ahsante sana Mzee kwa elimu hii.Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.