Konde Boy atamkiwa baraka na Nabii Mkuu kupitia wimbo wake wa "Mwaka Wangu"

Konde Boy atamkiwa baraka na Nabii Mkuu kupitia wimbo wake wa "Mwaka Wangu"

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Tukio hili lilifanyika huko kisongo kwa nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni Dr GeorDavie.

Sina shaka Konde boy kabeba baraka hizo, Wasafi itabidi wajipange ili kutengua baraka za nabii mkuu, ila ni ngumu sana kupindua pasipo kuwasiliana na nabii mkuu.

Screenshot_20220718-095110.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220718-095110.jpg
    Screenshot_20220718-095110.jpg
    15.8 KB · Views: 15
  • VID-20220718-WA0003.mp4
    9.5 MB
Hakuna cha nabii mkuu, hapo ni tapeli mkuu.

Ulishaona wapi mwanaume anayeshindana na mwanamke kutandika mkorogo ili aonekane mweupe?

Kwenye suala la kujichubua, huenda Geor Davie anashindana na mfalme Zumaridi.
 
Bwashee usimseme vibaya mtumishi, anao uwezo wa kukulaani ujue.
 
Hii dunia iendelee kutuacha tuishi maana ina vitu vya kupunguza stress vingi
"mwaka wangu" nabii kaserebuka nayo hadi raha!

No stress ukicheki nabii anavyojimwaga na hilo song
 
Huyu mwamba hapa kati upepo ulikata akina Mwamposa, Suguye, Musa na wengineo wakafunika ila naona anataka kurudisha heshima yake kijanja
Bado yupo fit mbona!
Hujasikia hivi majuzi kampa ndinga mpya komandoo Mashimo?

Hao kina Mwamposa na bro Suguye wao ni kupaka mafuta tu na kugawa keki za upako, ila huyu mwamba huwa anagawa vitu vyenye thamani ya mamilioni ya pesa kwa wahitaji, so hana mkono wa birika kama hao uliowataja.
 
Back
Top Bottom