Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Amevuka viwango vya zumaridi. Anashindana na wakongomanHakuna cha nabii mkuu, hapo ni tapeli mkuu.
Ulishaona wapi mwanaume anayeshindana na mwanamke kutandika mkorogo ili aonekane mweupe?
Kwenye suala la kujichubua, huenda Geor Davie anashindana na mfalme Zumaridi.