Konde Boy atamkiwa baraka na Nabii Mkuu kupitia wimbo wake wa "Mwaka Wangu"

Konde Boy atamkiwa baraka na Nabii Mkuu kupitia wimbo wake wa "Mwaka Wangu"

MIMI MKRISTO KWA IMANI YANGU.

HAWA WANAOJIITA MITUME, NABII, KUHANI, NABII MKUU, SIJUI NANI NA NANI.

YESU NA WANAFUNZI WAKE HAWAKUWAHI KUJIKWEZA NA KUJIPA UKUU AU UTAKATIFU, HATA PALE WALIPO PITIA MATESO.

LUKA 23:3 Pilato akamwuliza, akisema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu akamwambia, Wewe wasema.

NABII, MTUME HATAKI ULINZI WA YESU KRISTO ANATAKA WA MABODIGADI!
 
Nabii wa kanisani kwetu kwenye ibada wiki iliyopita😁😁😁
XgAEiV7K.jpeg
 
MIMI MKRISTO KWA IMANI YANGU.

HAWA WANAOJIITA MITUME, NABII, KUHANI, NABII MKUU, SIJUI NANI NA NANI.

YESU NA WANAFUNZI WAKE HAWAKUWAHI KUJIKWEZA NA KUJIPA UKUU AU UTAKATIFU, HATA PALE WALIPO PITIA MATESO.

LUKA 23:3 Pilato akamwuliza, akisema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu akamwambia, Wewe wasema.

NABII, MTUME HATAKI ULINZI WA YESU KRISTO ANATAKA WA MABODIGADI!
Tupo karne mpya mpendwa, ya kale yote yamepita sasa ni mapya tu.
 
Si ndiyo itakuwa waumini wake wanamuona ivo coz alisema ashakutana na Yesu akampa funguo nyingiiiii eti akafungue watu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wabishi wamekuwepo tangu enzi na enzi, nabii anapiga kazi huku wabishi wanabishana.
 
Wewe wasema

Sasa nimeuliza Mbinguni ni wapi, umesema Peponi. Labda uniambie ni kwenye Sayari nyingine, lakini hii tunayoshi Peponi haipo kwenye ramani, ndio maana nawaza kwa sauti, Je Peponi sehemu ya kufikirika? Unaweza kuniweka sawa na wengine wakapata faida vilevile.
 
Back
Top Bottom