Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nabii mkuu hanaga roho mbaya ujue, kwa nini unasema inasikitisha mno?Inasikitisha mno..
Ndiyo hivyo ankoDuh! Nabii mkuu wa serikali ya mbinguni? Hiki ni cheo kikubwa kuliko cha yule aliyetundikwa msalabani.
Why?Nonsense
Bwashee usimseme vibaya mtumishi, anao uwezo wa kukulaani ujue.Hakuna cha nabii mkuu, hapo ni tapeli mkuu.
Ulishaona wapi mwanaume anayeshindana na mwanamke kutandika mkorogo ili aonekane mweupe?
Kwenye suala la kujichubua, huenda Geor Davie anashindana na mfalme Zumaridi.
"mwaka wangu" nabii kaserebuka nayo hadi raha!Hii dunia iendelee kutuacha tuishi maana ina vitu vya kupunguza stress vingi
Noma sana"mwaka wangu" nabii kaserebuka nayo hadi raha!
No stress ukicheki nabii anavyojimwaga na hilo song
Mambo ya kingdom spokesman sio ya kitoto kabisaNoma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Nabii mkuu wa serikali ya mbinguni? Hiki ni cheo kikubwa kuliko cha yule aliyetundikwa msalabani.
Huyu mwamba hapa kati upepo ulikata akina Mwamposa, Suguye, Musa na wengineo wakafunika ila naona anataka kurudisha heshima yake kijanjaM
Mambo ya kingdom spokesman sio ya kitoto kabisa
Bado yupo fit mbona!Huyu mwamba hapa kati upepo ulikata akina Mwamposa, Suguye, Musa na wengineo wakafunika ila naona anataka kurudisha heshima yake kijanja
hatari sana🤯msemaji wa serikali ya mbinguni
Nabi au nabii? MikorogoTukio hili lilifanyika huko kisongo kwa nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni Dr Geor Davie.
Sina shaka Konde boy kabeba baraka hizo, Wasafi itabidi wajipange ili kutengua baraka za nabii mkuu, ila ni ngumu sana kupindua pasipo kuwasiliana na nabii mkuu. View attachment 2296965