Konde Boy atamkiwa baraka na Nabii Mkuu kupitia wimbo wake wa "Mwaka Wangu"

Kwa mujibu wa Biblia Yesu alipopaa alikwenda juu mbinguni (hapa humaanisha mbinguni ni juu na sio chini), hata Eliya alipoondoka duniani alipaa na kwenda juu akiwa na gari la kukokotwa na farasi.

Ukiwa ni msomaji mwelewa wa Biblia huwezi kushindwa kuelewa kuwa mbinguni ni wapi, ila ikiwa si msomaji mwelewa hata ukieleweshwa ni sawa na kulazimisha mbuzi acheze ngoma ya "mwaka wangu" kitu ambacho haiwezekani kabisa.

Nikushauri tu jifunze kuwa mwelewa utaelewa mengi yaliyomo ktk Biblia.
 
kweli kabisa, ndio maana Nabii mkuu anajichubua
Akiwa na makunyanzi wstamsimanga pia, akiwa na ukurutu na mapunye watasema karogwa ama hana hela, sasa ana make up kisasa halafu mnamsimanga!

Tafuteni hela mrudi ujanani kama alivyo kingdom spokesman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…