Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana,uhakika gani wanaotombwa.....ni watoto!? Wanaweza wakawa wake za watu au malaya wengine au wasafiri wanaolala stendiMkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo kuanza doria nyakati za usiku katika stendi ya mabasi Same mjini, ili kuwabaini na kuwakamata wanaotumia stendi hiyo kufanya mambo yasiyo na maadili.
Amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilitumia eneo hilo la stendi vibaya na kwamba kila siku zimekuwa zikikutwa kondomu zilizotumika zimezagaa ndani ya stendi hiyo.
Mgeni ametoa agizo hilo katika mkutano wa hadhara ambao umefanyika katika viwanja vya stendi hiyo, wakati akisikiliza kero mbalimbali za wananchi wa wilaya hiyo.
"Hili eneo la stendi kuna watu wanalitumia vibaya sana, tunakumbana na kondomu kila siku hapa stendi, kuna kitu gani kinafanyika hapa, OCD nikuombe fanya doria kamata wote weka ndani uwachukulie hatua kwa mujibu wa sheria," amesema DC Mgeni.
Ameongeza: "Wanatuharibia sana watoto wetu hapa Same, mimi kama mkuu wenu wa wilaya na mwakilishi wa Rais katika wilaya hii ya Same na kama mwanamke, nina uchungu sana na hawa watoto, niwaombe sana wazazi timizeni wajibu wenu,"
"Sitaki kusikia tena kuna kondomu hapa, na kila mzazi awe mlinzi wa mwenzake hata kama mzazi unaona yule mtoto sio wa kwako anarandaranda maeneo ya hapa stendi nyakati za usiku, mtoto wa mwenzake ni wa kwako, mweleze mzazi mwenzako usione kama una kiherehere unakuwa umeokoa taifa la kesho,"
Well Noted Mkuu...shida bongo ni mabavu tu kila idaraKabla ya DC kupongeza watu kutumia Kinga yeye kama kawaida ya politicians wetu ni kutumia dola, my DC unatakiwa usambaze refuse bins hapo stendi, weka taa hapo uwanjani yaani kimbiza giza, mambo mengine hayahitaji nguvu, kwani ukitia ndani utawashitaki kwa kosa gani?
Hii ndio vunja jungu?
😁😁😁😁😁Masandale square member, Mama kibena ajaliwe maisha marefu
Six mwaka gn mkuu😄😄😄Masandale square member, Mama kibena ajaliwe maisha marefu
Hapana, wageni wanakuwa washaondoka wamebakia wapare tu.Wewe huoni wanajali afya zao, halafu pale ni stand..huenda hata sio wapare🤣🤣
2011Six mwaka gn mkuu😄😄😄
Mkuu hilo ni tatizo la usafi. Stendi zinatoza fedha, kwa nini hawafanyi usafi na kuweka containers za taka? Kwanza hii siyo kazi ya mkuu wa wilaya.Mlivyokuwa mnagawa bure kondom mlitegemea nn!?
Mkuu mm nimesoma huko pia navuta picha ile stand ya Same pale saivi si waneweka taa pale kila kona sasa watanjunjana wapiHii habari imenifanya nione Aibu coz Nimezaliwa na kusoma primary hapo same,nimekulia kijiji cha Mahuu....Wana same nini kimewakuta[emoji848]
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Pamoja sana mkuu.2011