Kondoo mwenye korani azaliwa

Lack of Education. ushingae masheikh ubwabwa kumuandalia ziara za kumtembeza misikitini huyo kondoo. maana nakumbuka kuna mtoto alizaliwa akakumbwa na mapepo yale mapepo yakamfanya aweze kuongea lugha ambayo hajajifunza, hawa ndugu zetu wakambatiza jina la sheikh Shariff, sasa ukweli umedhihirika kwamba yule mtoto ni majini tu ndio yalikuwa yamemkaa kichwani lakini cha kusikitisha zaidi wakati wazazi wake wanakumbuka kwamba kuna kitu kinaitwa shule walikuwa wameshachelewa mtoto akawa ni kilaza namba moja darasani.
waislamu hamkeni acheni kufuata mambo ambayo hayana msingi.

Sasa mjomba, mbona unakurupuka? kila kitu kimeandikwa hapo, na hata maana ya neno imetajwa hapo juu, wewe unazuka ghafla unaanza kulaumu ushirikina nk,, inakuwaje mkuu? Ushagonga viloba vya fasta fasta au?

Ndio tabu ya kusoma kichwa cha habari tu,sasa yeye hajui ndani kimeandikwa nini naona amekurupuka toka usingizini.

je angezaliwa pig mwenye andishi hilo ingekuwaje

Religion was the worst thing that ever happened....
Nilistuka mapema huyooo nikapotea...

Hiyo ni rangi tu ya tofauti yaani doa, haina uhusiano wowote, hata kama hilo neno ni la kiarabu itakuwa imetokea coincidence tu...msikauwe bure ka mwana kondoo ka watu, punguzeni ushirikina kiimani.(mwenye kujua imeandikwa nini atujuze)

ushirikina ni Fani mkuu wenyewe wakikusikia.........

Sio ushirikina hayo ni mambo ya MUNGU tena kumbuka huu ni mwezi mtukufu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…