johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nani awanunie wanao tapatapa?!Wale wafuasi wa shee ponda watanuna
Hao ni wajuuzi wa diniNani awanunie wanao tapatapa?!
Membe kawapiga Spana hukoNani awanunie wanao tapatapa?!
Nyie mna hurumiwa, hali zenu mbaya.
Wewe endelea kumsikiliza Ponda!Tusipoteze muda wetu kuwasikiliza mawakala hawa wa ccm.
Tar 28 hamtoboi hata kwa dawa!Hawa tunawaelewa, wanashurutishwa kuinadi mboga mboga,
Sisi tunaa siri moyoni hio tar 28
Bwashee karibu Golden Tulip mtori utakuwepo!Hawa tunawaelewa, wanashurutishwa kuinadi mboga mboga,
Sisi tunaa siri moyoni hio tar 28
Hao wote Ni wapiga debe wa MAGUFULI. Hamna anayeweza kumwambia hapana.Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.
Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.
Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
Source Shallom tv
Maendeleo hayana vyama!
Wekeni konyagi tuje na Mbowe ila Msipoiba mjue hamtoboi.Bwashee karibu Golden Tulip mtori utakuwepo!
Mwanaharakati, kidume, Jeshi la mtu mmojaPonda je?
Mna mawakala lakini?Wekeni konyagi tuje na Mbowe ila Msipoiba mjue hamtoboi.
Msije mkamdanganya mzee akaacha kuiba
Hiv bro...nikuulize kitu...kwa kunongoneza lakiniTar 28 hamtoboi hata kwa dawa!
Ccm wamewachoka , humo umo ndani ya ccm mtageukanaMna mawakala lakini?
Lowassa alitumia waumini wa Efatha kwa Mwingira!