johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Lisu hata mawakala hana atashindaje?
Hizo ni ndoto za Membe!Ccm wamewachoka , humo umo ndani ya ccm mtageukana
Kongamano la wanafiki TanzaniaKongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.
Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.
Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
Source Shallom tv
Maendeleo hayana vyama!
Karibu mkuu Golden Tulip!Kongamano la wanafiki Tanzania
Membe kasema anapindua meza dakika ya 95.Hizo ni ndoto za Membe!
Membe ameshafeli siasa kila chama kinamfukuza!Membe kasema anapindua meza dakika ya 95.
Mkileta 'hila' za kuficha form za kuwaapisha mtapoteana humo katika vituo vya upigaji kura..Lisu hata mawakala hana atashindaje?
Lisu atashindwa na atasaini fomu ya kukubali matokeo!Mkileta 'hila' za kuficha form za kuwaapisha mtapoteana humo katika vituo vya upigaji kura..
ukishaona TBC na CHANNEL TEN wapo.
Hilo kongamano ni CCM oriented
Hilo ni kongamano la praise and worship kwa Mungu jiweKongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC....aliyepata point kama mimi hapa anyoshe mkono
Wewe huzijui runinga za TBC?Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC....aliyepata point kama mimi hapa anyoshe mkono
Semeni kongamano la ccm sio la dini zote hapo...haaa wote ni vibaraka wa ccm..kuanzia askofu mulasusaKongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.
Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.
Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
Source Shallom tv
Maendeleo hayana vyama!
Dunia inatoa amani ili Haki ya Mungu ipatikane.TBC nao watarusha ? Huu mchepuko wa Magufuli anaotembea nao kwapani. Basi maudhui ya kongamano yameshajulikana. Ni habari ya AMANI tu bila HAKI kuzungumzwa. Huo ni uzwazwa. AMANI ni tunda la HAKI. Bila HAKI hakuna AMANI. Hivyo kusikiliza hili kongamano njaa ni kukubali kupoteza muda.
Hao hawatusumbui!! tunajua kuws ni matawi ya ccm! Kama ilivyo uvccm.Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.