n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,272
Wajasiriamali wa dini wameandaa kongomano?
Kama kuna watu na chama wanafiki na wazandiki ni hii saccos ya huyu mangi. Puuu, mpaka chini hiyo Oct 28 mnakwenda na maji.
Wajasiriamali wa dini wameandaa kongomano?
Kuna ubaya wowote mkuu?Sidhani kama litakuwa ni kongamano la amani hilo. Bila shaka utakuwa ni mkutano wa kampeni wa CCM utajsohutubiwa na viongozi wa dini wana-CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabiri - Hili ni "kongamano" la kumkashifu Sheikh Ponda.Naona Upepo wa Shehe Ponda huo
Watasikilizwa na watanzania. Nyie chadema mtakuwa busy kuwasikiliza Bagonza, Mwamakula na Ponda. Sasa shida iko wapi?Tusipoteze muda wetu kuwasikiliza mawakala hawa wa ccm.
Yamekuchosha wewe bwashee!Tunataka kongamano la HAKI haya ya amani yametuchosha sasa.
Ponda ni mtu mdogo sana ukimlinganisha na hao wanenaji watatu!Utabiri - Hili ni "kongamano" la kumkashifu Sheikh Ponda.
Sawa mkuuView attachment 1606914
Kama kuna watu na chama wanafiki na wazandiki ni hii saccos ya huyu mangi. Puuu, mpaka chini hiyo Oct 28 mnakwenda na maji.
Mnajenga misikiti kamilisheni kwanza mtashilikishwa kwenye swala ya ufunguzi itaongozwa na Mufti mwenyewe.Mbona Wakatoliki hatujawakilishwa?
Waongelee haki na maendeleo. Amani bila haki ni ukondooKongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.
Mwezeshaji wa kongamano hilo ni askofu Gamanywa wa BCIC na wanenaji watakakuwa askofu Kakobe askofu Dr Malasusa na shehe Abdallah.
Kongamano hilo litarushwa mubashara na runinga za TBC, Channel ten na radio ya WAPO kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
Source Shallom tv
Maendeleo hayana vyama!
Penye amani pana haki!Waongelee haki na maendeleo. Amani bila haki ni ukondoo
Kutoa ni moyo bwashee!Mnajenga misikiti kamilisheni kwanza mtashilikishwa kwenye swala ya ufunguzi.
HAKI HAKI HAKI HAKI.Yamekuchosha wewe bwashee!
Siyo kweli mekuPenye amani pana haki!
Watoza ushuru.Wajasiriamali wa dini wameandaa kongomano?
Wameletwa hapo wabwabwanje then wapewe elf 50 kila mmojaWatoza ushuru.
Ponda kawakusanya wote.
Kongamano kubwa la amani na maendeleo linafanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dsm.