Kongamano la amani: Wanenaji ni Askofu Kakobe, Askofu Malasusa na Sheikh Abdallah

Kongamano la wanafiki Tanzania
 
Kuna la kujifunza kwa sheikhe Ponda. Kuwa simama katika Haki una Nguvu Kama kuliko watu 1000. Ndio maana Nguvu kubwa inatumika kumjibu mtu mmoja
 
TBC nao watarusha? Huu mchepuko wa Magufuli anaotembea nao kwapani. Basi maudhui ya kongamano yameshajulikana. Ni habari ya AMANI tu bila HAKI kuzungumzwa. Huo ni uzwazwa. AMANI ni tunda la HAKI. Bila HAKI hakuna AMANI. Hivyo kusikiliza hili kongamano njaa ni kukubali kupoteza muda.
 
Semeni kongamano la ccm sio la dini zote hapo...haaa wote ni vibaraka wa ccm..kuanzia askofu mulasusa
 
Sidhani kama litakuwa ni kongamano la amani hilo. Bila shaka utakuwa ni mkutano wa kampeni wa CCM utajsohutubiwa na viongozi wa dini wana-CCM.

Sijui ni kwa nini viongozi wa dini wajasiriamaki wanaoiunga mkono CCM, wanakuwa ni wale wenye kashfa za kimaadili.

Ukimwondoa Kakobe, watazame:

1) shekhe Alhadi
2) Malasusa
3) Gwajima
4) Mzee wa upako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inatoa amani ili Haki ya Mungu ipatikane.

Ukiwa chini ya sheria amani ndio muhimu.
 
Hao hawatusumbui!! tunajua kuws ni matawi ya ccm! Kama ilivyo uvccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…