Kongamano la amani: Wanenaji ni Askofu Kakobe, Askofu Malasusa na Sheikh Abdallah

Dah!

Sie wengine sijui tunaishi ishi vipi hapa duniani!!

Unajua nikiwekea dau la Sh. 100 Billion halafu nikaambiwa nitaje Watangazaji 3 wa TBC, hizo 100B nitazikosa?! In fact, hata nikiambiwa dau litaongezeka to 500B endapo nitaongeza Watangazaji wengine 2 kutoka Channel 10 bado nitaikosa 500B hivi hivi!!!

Yaani unaendesha mihadhara Misikitini kuhamasisha watu wajiunge na Uislamu?! Au unaenda kanisani kuhamisha watu wajiunge na Ukristo?!

Hizo ni akili au matope?!

Yaani anawazidi hadi Chidi MaPorn aliyeamua kuanza kupiga "barakashia" hivi sasa!! Yaani barakashia zinazovaliwa na watu wa dini ile ile ambayo aliwahi kuita ni Dini ya Wafuga Majini!!!
 
Hao wote Ni wapiga debe wa MAGUFULI. Hamna anayeweza kumwambia hapana.
Malasusa , kakobe na Gwamanywa na Gwajima Ni walevi wa Pombe za ikulu
Ina maana Kakobe nae hivi sasa keshaunga mkono juhudi?! Au baada ya maombi yake wakati ule kushindwa kuzuia umeme ku-flow, akaamua kutumia msemo wa "If you can't fight them, join them"?!
 
Hakuna atakaye dhubutu kumuomba mwenyezi Mungu au Ahla kuwa uchaguzi uwe wa HAKI, Wote wataishia kusema Amani tuuu!
 
Kuna watu wanafiki hatari...wakati watu wanatekwa wanakufa na wengine kubambikiziwa kesi hatukuwaona hawa na haya makongamano ya kulaani.

Tutamuheshimu viongozi wowote wawe wa dini ama wa kisiasa watakaotanguliza neno HAKI...

Ukishaweka HAKI basi by default AMANI huja!!
 
Hivi malasusa yupo...hahahaha...eti viongozi wa dini...takataka
 
Ooooh God , this is too sad ,Tanzania is bleeding !!!!!! Because of dictators who are merciless to citizens , But we are very strong with the power of the Lord,
#We shall overcome these bloody regimes .😭😭
 
Hao hawana jipya.. Ni wa kupuuzwa tu
 
Wachumia tumbo nyie ni kakundi ka watu mnao nufaika na kudhurumu haki za watanzania tulio wengi wambie 28/10 inakuja lazima kieleweke
 
Ukitaka kuwaudhi CCM we ongelea HAKI. Wao wanataka AMANI tu. HAKI wao haiwahusu.
 
Kama Sheikh Alhad hayupo ni kongamano batili hili
 
Bado CCM hamjawakusanya wachawi nao wakafanya kongamano/ mtamaliza kila kitu kukituma na kukitumia mwaka huu mmelamba magalasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…