Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kwahiyo kuanzia ndani ni red tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama Wanaume tunapaswa kujua ya kuzingatia, ili tuachane na yasiyotuhusu.Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
Nipo nae hapa anachambua mcheleUna uhakika mkuu!?? Shemeji yetu yupo!??
Sure sureHilo ni kongamano la single mothers na wasimbe,wake zetu wamebaki nyumbani wanahudumia
Kutimia muda gani,umevua nguo nakupea kwani na hicho kidude? Labda ubake...wafurushwa mkuuSasa mpaka wajue si mandigo haya yangu ishatimia
mimi ninnachoona hapo ni biashara nzuri tuFeminist 🔥
Mishangazi kama hiyo hukosi mark X ukiperform vizur wachia figure😅Six packs searching for six figures
Maskini,pole yaoHilo ni kongamano la single mothers na wasimbe,wake zetu wamebaki nyumbani wanahudumia
wawe wanapiga mswaki vizuri kabla ya kupaka lips shine basi ndrugu zango maana harufu ya mdomo hua ni aibu dah, huku kupendekeza kinoma 🐒Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel.
View attachment 3170670
Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
Mbona unanikatisha tamaa, nishaanza kuvisha hichi kidari shart bahama mkono wa class counterKutimia muda gani,umevua nguo nakupea kwani na hicho kidude? Labda ubake...wafurushwa mkuu
🤣🤣🤭Mbona unanikatisha tamaa, nishaanza kuvisha hichi kidari shart bahama mkono wa class counter