mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Yupo kwenye comitted relationship ujueFeminist mwenye malengo yake, unakuta kuna raia anakula safi tu 😃 ila huku nje anawapoteza wanawake wenzake 😃
View attachment 3170688
Nakumbuka alisema kitu kama miaka 4,5
Sio mtu mbaya