Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kasongo hao wanaonuka midomo unawatoaga wapi? 😹wawe wanapiga mswaki vizuri kabla ya kupaka lips shine basi ndrugu zango maana harufu ya mdomo hua ni aibu dah, huku kupendekeza kinoma 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasongo hao wanaonuka midomo unawatoaga wapi? 😹wawe wanapiga mswaki vizuri kabla ya kupaka lips shine basi ndrugu zango maana harufu ya mdomo hua ni aibu dah, huku kupendekeza kinoma 🐒
ni hatari sana,Kasongo hao wanaonuka midomo unawatoaga wapi? 😹
😹😹ni hatari sana,
lips shine zinapakwa juu ya shimo lenye harufu kali na mbaya sana dah!
inasikitisha sana na inafedhehesha mno ndrugu zango. Na hapo nguo zilizovaliwa ni mpya?🐒
na hapo hiyo pisi kali imepiga na miwani ya maana dah,Mdomo unatoa harufu kama Nguru 😃
muelezane huko kwenye Ladies in Red na itapendeza zaid kuliko kusubiri March 8, maana itakua ni mbali sana,😹😹
Waambie sasa au unawaogopa??
Hao mademu zake wanaonuka sema kazunguka sana gentleman 😹Unataka apewe kesi ya udhalilishaji 😃
umeona mbali kinyama gentleman 🤣Unataka apewe kesi ya udhalilishaji 😃
Hiyo mishangazi ni misafi ndiomana vijana wanaipenda 😹muelezane huko kwenye Ladies in Red na itapendeza zaid kuliko kusubiri March 8, maana itakua ni mbali sana,
elezaneni ukweli tafadhali, sawa mama?
Usiwafiche wala usiogope 🐒
Media siku hizi zimekuwa za hovyo, hao sijui ndo presenters ni hovyo hovyo, imagine eti Kina Diva, huyo Bhoke na wapuuzi wengine wana vipindi vyao, na mtu mwenye akili timamu unakaa unasikiliza hao matahira?Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
nashauri pisi kali zote wakaguliwe getini ikiwa wameswaki ama laa!Hao mademu zake wanaonuka sema kazunguka sana gentleman 😹
vijanaa wanavumilia tu kwasababu kuna vijisent wanapata, but harufu ni kali wanaendaga kutapikia bafuni dah 🐒Hiyo mishangazi ni misafi ndiomana vijana wanaipenda 😹
Hao wa kunuka midomo wafikishie mwenyewe ujumbe…!!
Mkuu yaani nimesoma hii hoja utadhani nakusikiliza 😃 umeongea kwa uchungu sana 😃Media siku hizi zimekuwa za hovyo, hao sijui ndo presenters ni hovyo hovyo, imagine eti Kina Diva, huyo Bhoke na wapuuzi wengine wana vipindi vyao, na mtu mwenye akili timamu unakaa unasikiliza hao matahira?
ndiyo ile wanaita mvumilivu hula mbovu, right?Palipo na ulaji mbona unajitoa akili kwa muda 😃
Nipo nae hapa karibuMkuu upo na mwanasheria lakini 😃