Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

Tusikatishane tamaa. Suala la katiba mpya ni la kila mpenda haki nchi hii. Muda wa kudai katiba mpya ni sasa. Siyo kusubiri mpaka 2025.
 
Kungekuwa na kongamano la kushinikiza kutekelezwa kwa katiba tuliyonayo sawa ila kushinikiza katiba mpya huku hii inavurugwa kila leo ni nonsense
 
Lipumba anaanza tena mambo yake 🤣🤣🤣!!! Hizi siasa za bongo unaweza tamani gharika ipite kianze kizazi kipya cha wanasiasa.
Hatutanii na hatuja kurupuka kuratibu hili......ccm wenyewe wanajua mziki wa cuf huwa haturudi nyuma
 

Umewaza mbali kidogo.

What if wimbo wa kuongeza muhula umepata chorus ya Katiba Mpya?

Thinking out of boxes
 
Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020

It is essential for the entire opposition, freedom and human rights activists, the press, and peace lovers including the religious bodies; to join and team up in full support of this move regardless of who has initiated it.
 
Umewaza mbali kidogo.

What if wimbo wa kuongeza muhula umepata chorus ya Katiba Mpya?

Thinking out of boxes
Akishajua anaogopewa ni rahisi kufanya mile anachotaka.....tuwe makini nahili.

Wazee wetu wasinge jitoa kwa hali na Mali tusinge pata uhuru Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…