Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

Mkuu bila serikali kusimama kidete na kuacha kufauta matakwa ya hawa wazungu hilo bwawa litapigwa danadana Sana.

Kujibu swali lako kwann hawataki likamilike? Kukamilika kwa bwawa hilo kutamaanisha uhakika wa umeme tena wenye gharama nafuu na hivyo kichochea shughuli za kiviwanda na kukua kwa uchumi. Kitu ambacho kitapunguza utegemezi wa Tanzania kwa hawa donor countries. Ndiyo maana wanaleta za kuleta.

Kwann hahujumu umeme wa gesi? Umeme wa gesi uzalishaji wake unahitaji teknolojia ya hali ya juu sana na mitambo ya kisasa na gharama yake ni kubwa pia umeme wake ni ghali.

Tunayo hiyo teknolojia na hiyo mitambo? Jibu ni hapana. Kwahiyo hakuna ukombozi wowote wa kiuchumi kupitia umeme wa gesi. Tutaendelea kuwategemea
Kama haya mabwawa madogo hayajai Maji ya kuzalisha umeme mwaka mzima Hilo jidubwana mtalijaza na mate? Mimi nasema hata likikamilika halizazalisha kiasi hicho cha umeme kinachosemwa. Sababu kuu ni kwamba haitatokea likajaa katika kiwango kinqchotakiwa.

Hilo bwawa linapigiwa kelele Kama gesi ya mtwara tu. Tatizo la umeme ni neema kwa CCM na hawatopenda liishe Kama ulivyo ujinga wa wengi.
 
Jamani mafisadi yamerudi kwa kasi ya kutisha sasa yanateketeza hakuna kitakachobaki. Kwa sasa yanajipanga kuiba kura 2025 ili yaendelee kubaki madarakani
Hawatoweza, this time ugomvi ndani ya familia utawanufaisha waliomo na wasiokuwepo

Tusubiri.
 
Kuna Fununu kwamba Kongamano hilo limeandaliwa mahususi kuwahadaa watanzania kwamba Mradi wa Bwawa la JNHPP hautafanya kazi hata kama utakamalika kwa sababu maji ya mto Ruaha yamekaushwa na wakulima na wafugaji.
Nikiona watu wanamuamini habibu mchange ,nawashangaaa sanaaaa.
 
Kama haya mabwawa madogo hayajai Maji ya kuzalisha umeme mwaka mzima Hilo jidubwana mtalijaza na mate? Mimi nasema hata likikamilika halizazalisha kiasi hicho cha umeme kinachosemwa. Sababu kuu ni kwamba haitatokea likajaa katika kiwango kinqchotakiwa.

Hilo bwawa linapigiwa kelele Kama gesi ya mtwara tu. Tatizo la umeme ni neema kwa CCM na hawatopenda liishe Kama ulivyo ujinga wa wengi.
Tunapigwa pakubwa sanaaaaa.
 
mimi pia nilijiuliza maswali mengi sana, ila ukweli utajulikana ngoja waje wajuzi wa mambo wasaidie uchambuzi huu mujarab. ila mtoa post nakupa kongole kwa uchambuzi makini sana. KINA BALILE, MCHANGE, KITENGE waje na maelezo
Hakuna cha uchambuzi hala anaewindwa ni mr makamba,, huyu jamaa watu wanamuwinda sana kwasababu ana IQ kubwa sana ndani ya system,, wakimwa gusha huyu, kuelekea 2025 njia yao itakua imekua cake walk kuelekea magogoni, yupo huyo, mwigulu, kinana,,, na kadhalika,, hawa watawindwa sana manake hawa ndo strategists wakubwa waccm kuelekea 2025
 
Huyu Kitenge ana akili gani za kuweza kuwa mmoja wa watu wenye akili kubwa? Habib anajulikana kama ni Msoga team.
 
Mkuu bila serikali kusimama kidete na kuacha kufauta matakwa ya hawa wazungu hilo bwawa litapigwa danadana Sana.

Kujibu swali lako kwann hawataki likamilike? Kukamilika kwa bwawa hilo kutamaanisha uhakika wa umeme tena wenye gharama nafuu na hivyo kichochea shughuli za kiviwanda na kukua kwa uchumi. Kitu ambacho kitapunguza utegemezi wa Tanzania kwa hawa donor countries. Ndiyo maana wanaleta za kuleta.

Kwann hahujumu umeme wa gesi? Umeme wa gesi uzalishaji wake unahitaji teknolojia ya hali ya juu sana na mitambo ya kisasa na gharama yake ni kubwa pia umeme wake ni ghali.

Tunayo hiyo teknolojia na hiyo mitambo? Jibu ni hapana. Kwahiyo hakuna ukombozi wowote wa kiuchumi kupitia umeme wa gesi. Tutaendelea kuwategemea
Naww unaamini kwamba pale utatoka umeme wakutosha kuendesha viwanda are you serious? achana na porojo za watawala wa cccm hakuna kitu pale
 
Nikiona watu wanamuamini habibu mchange ,nawashangaaa sanaaaa.
Sio mchange tu wote kwenye genge lao hakuna mwenye credibility yakusimama mbele za watu wasiotumia utumbo kufikiri wakasema jambo nakuaminika
 
Mwanzisha mada kauliza maswali ya msingi sana. Askofu Fulton Sheen aliwahi kusema " The devil may have his hour but God will have his Day!

Nia ovu hushinda kwa muda tu! Ipo hivyo always

..Mtoa mada ana tatizo ambalo nimeliona kwa Watanzania wengi.

..Mtoa mada hakutakiwa kuuliza maswali kwa watu [ wahariri ]ambao inaelekea hawaamini.

..Alitakiwa afanye utafiti wake na kuja na majibu ya masuala anayoyatilia mashaka.

..Mtoa mada aende bonde la mto Ruaha, afanye utafiti, na kutuletea taarifa ambazo anaamini ni sahihi kuhusu hali ya kimazingira ya eneo hilo.
 
Mkuu bila serikali kusimama kidete na kuacha kufauta matakwa ya hawa wazungu hilo bwawa litapigwa danadana Sana.

Kujibu swali lako kwann hawataki likamilike? Kukamilika kwa bwawa hilo kutamaanisha uhakika wa umeme tena wenye gharama nafuu na hivyo kichochea shughuli za kiviwanda na kukua kwa uchumi. Kitu ambacho kitapunguza utegemezi wa Tanzania kwa hawa donor countries. Ndiyo maana wanaleta za kuleta.

Kwann hahujumu umeme wa gesi? Umeme wa gesi uzalishaji wake unahitaji teknolojia ya hali ya juu sana na mitambo ya kisasa na gharama yake ni kubwa pia umeme wake ni ghali.

Tunayo hiyo teknolojia na hiyo mitambo? Jibu ni hapana. Kwahiyo hakuna ukombozi wowote wa kiuchumi kupitia umeme wa gesi. Tutaendelea kuwategemea

..gharama za umeme wa Stieglers zitategemea aina ya MKOPO uliotumika kujenga mradi.

..kama tumechukua mkopo mbaya wenye masharti ya kibiashara basi tusitegemee gharama za umeme kuwa nafuu.
 
Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo.

1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa)

2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio wanalimiki Ranchi ya Usangu je ni Kweli Ranchi ya Usangu inamilikiwa na watu binafsi au Serikali? ukweli ukoje kwenye hili. (Kwanini hadi leo wameshindwa kutaja majina yao)

3. Wametajwa watu wanaotumia maji ya mto Ruaha kwa shughuli za Kilimo, je Sheria inasemaje kuhusu wanaotumia maji? ziko Water Use Permit zinazotolewa na Mamlaka za Kiserikali za Mabonde ya Mito chini ya Wizara ya Maji na zinalipiwa ada nadhani kila mwaka kama sikosei.

Kosa la hao wenye vibali vya kutumia maji liko wapi? kwanini watangazwe kwamba ni wahalifu ilihali wanatumia maji kisheria na kama mtu anatumia maji bila kibali sheria inasemaje?

4. Kuna Fununu kwamba Kongamano hilo limeandaliwa mahususi kuwahadaa watanzania kwamba Mradi wa Bwawa la JNHPP hautafanya kazi hata kama utakamalika kwa sababu maji ya mto Ruaha yamekaushwa na wakulima na wafugaji.

5. Point Namba 4 ndio inatajwa sana kufadhili kongamano na kundi hilo hilo hilo la wahariri ndio kila leo linakwenda kwenye Mradi wa JNHPP na kusifia kwamba hakuna kilichosimama.

Huku wakitambua mradi huo umecheleweshwa na mkandarasi kwa miaka 2na una mambo mengi yanahitaji majibu kuhusu shilingi Trilioni 1.5 ambazo mkandarasi alipaswa kuilipa Serikali kwa kuchelewesha mradi kwa mujibu wa mkataba.

Maswali ambayo Kina Balile na Kina Pascal Mayala licha ya kuwa Wanasheria wabobevu wameshindwa kuyauliza kwenye mamlaka husika hadi leo na hatujui kwanini wanafanya hivyo?

Kwa ufupi Wahariri wote wameandaa kongamano hilo ili kutengeneza hadaa na kuwaandaa kisaikolojia watanzania li kufanikisha lengo lao la kuonyesha tatizo la umeme halitakwisha leo wala kesho ili zile biashara zingine za Majenereta na Mikataba mingine iendelee ya kuiuzia umeme Tanesco. kwa kigezo cha kukosekana maji

Uthibitisho ya hayo siku chache Kabla ya Kongamano hilo, Mwenyekiti wa MERICA, Habib Mchange alifanya PRESS alitamka kwamba tutamlaumu Januari Makamba umeme wa mgao atafanya nini kama maji Ruaha hayapo?

MERICA imeshindwa kuuliza kwa nini umeme haukukatika katika kipindi chote cha miaka 6 iliyopita je hali ya ukame imekuja tu baada ya Januari kuwa Waziri? na je kuhusu madai ya baadhi ya watumishi wasio waadilifu wa TANESCO kufungulia maji ya Mabwawa ili yasijae kuzalisha umeme nalo kwa nini halizungumziwi.

Kwanini wazungumziwe kundi moja tu la wakulima na wafugaji ndio waliomaliza maji? na je miaka yote 6 ambayo umeme ulikuwa haukatiki wafugaji na wakulima waliacha shughuli za kilimo na ufugaji? kwanini maswali hayo hayapati nafasi? na kwanini kongamano hilo halikuwashirikisha wakulima na wafugaji kupitia vyama vyao kama MVIWATA na Chama cha Wafugaji Tanzania.

Tuendelee kutafakari kwa pamoja kuhusu kongamano hili na mambo yaliyojificha nyuma ya pazia ila uzuri duniani hakuna siri hasa jambo likishashirikisha watu zaidi ya mmoja na Makamu wa Rais ukweli aliofichwa ataufahamu.

Rejea nyingine muhimu juzi Waziri wa Nishati, Januari Makamba alinukuliwa akisema itahitajika misimu 2 ya mvua kujaza bwawa la nyerere.

Saidoo25.

Wamelipiwa na serikali, kwani kuna tatizo hapo?
 
..Mtoa mada ana tatizo ambalo nimeliona kwa Watanzania wengi.

..Mtoa mada hakutakiwa kuuliza maswali kwa watu [ wahariri ]ambao inaelekea hawaamini.

..Alitakiwa afanye utafiti wake na kuja na majibu ya masuala anayoyatilia mashaka.

..Mtoa mada aende bonde la mto Ruaha, afanye utafiti, na kutuletea taarifa ambazo anaamini ni sahihi kuhusu hali ya kimazingira ya eneo hilo.
Mtoa mada ni mtetezi wa wale wahujumu 12.
 
Huu mradi wa umeme wa JNHPP hauwezi kamwe kukamilika na kutoa umeme kwasabb ni tishio kwa donor countries na wasakatonge wa ndani ya nchi.

JPM alisimama kidete kwenda kinyume na matakwa ya hizi "nchi wafadhili". Ikumbuke hata kampuni inayojenga bwawa hili ilitishwa kuwa itapigwa marufuku kufanya kazi nyingine tena sehemu yoyote duniani.

Na ndiyo maana JPM kabla hajafariki ilitangazwa kuwa maji yataanza kujazwa bwawani tarehe 15 Novemba 2021. Alipofariki tu danadana zikaanza na tukaambiwa bwawa liko chini ya 40%.

Sasa tunaambiwa bwawa litajazwa kwa miaka 2. Uliona wapi? Wameandaa drama nyingine katikati ya hiyo miaka 2.

Dunia hii Ina mengi Sana. Tukae tukijua mradi huu haupendwi na wazungu. Na wasilo litaka halitekelezeki ktk nchi hizi za Afrika.
Njoo na hoja nyingine kuhusu hoja ya kujaza maji kwenye bwawa. Kwa taarifa yako hata lile la Grand Ethiopian Renaissance Dame litajazwa kati ya miaka 4-7.

Soma hapa kwenye hiki chanzo

Njoo na hoja nyingine kuhusu hoja ya kujaza maji kwenye bwawa. Kwa taarifa yako hata lile la Grand Ethiopian Renaissance Dame litajazwa kati ya miaka 4-7.

Soma hapa kwenye hiki chanzo

Spot on mkuu!
Kuna watu akili ni ndogo kubeba information, lazima waambiwe ili waweze kuelewa!
 
1. Mkuu labda tusaidiane kwanini wazungu hawapendi mradi huo ilihali ndio hao hao sio tu wametukopesha tujenge ila wanatuuzia vifaa na teknolojia??

2. Ndani ya nchi kina nani hawataki Bwawa liishe? Mbona umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea gesi kwanini wasihujumu gesi ambayo ni gharama zaidi ila wahujumu umeme wa Maji ambao ni cheap? Yaani why uhujumu 40 percent uache 60 percent?

Nadhani ifike mahala tuchukue responsibility wenyewe maana hii tabia ya kusakizia Kila kitu mabeberu kwa failure zetu wenyewe hazitusaidii lolote.
Tena tuna fail kipuuzi. Halafu haraka tunahadaiwa kuwa mabeberu ndo hawataki.... Unajiuliza wanafaidikaje na hali hii.... Hupati majibu. Toka miaka na miaka Wazungu ndo wamekuwa wabeba makosa yetu. Leo hii mtu hali vizuri anakosa nguvu za kiume au kuzalisha. Anasingizia wazungu.
 
Back
Top Bottom