Mtoa mada na geng lake akikujib uni tag. Nimekaa paleeeMkuu naomba niulize jambo maana hii issue ya kwamba mgao inatengenezwa Ili majenereta ama mikataba ya IPTL/DOWANS irudi inarudiwa rudiwa Sana.
Tanzania kwenye mpango wa taifa imeeleza kufocus kwenye energy mix yaani umeme sio tu kupitia Maji ila gesi, joto ardhi, upepo, solar n.k Sasa wote tunafahamu focus ipo kwenye gesi in fact Kinyerezi 3 Iko mbioni kujengwa Ili gesi izidi kuongeza mchango wake kwenye umeme.
Sasa wote tunafahamu zaidi ya 60% za umeme wa Tz unategemea gesi sio Maji na pia umeme wa gesi ni gharama sana kufua kuliko wa Maji.
1. Je kwanini wapiga Dili wasihujumu gesi maana ndio tegemeo kwenye umeme Tz?
2. Maintenance ya Bomba/mitambo ya gesi ni gharama kuliko umeme wa Maji kwanini wasihujumu gesi wavune mabilion?
3. Pia majenereta Yana faida kiasi gani Hadi yarudishe cost za mgao? Sababu hata hao mafisadi Wana viwanda/mashamba/mahoteli n.k?
Ntashukuru kwa majibu yenu