Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

Mtoa mada na geng lake akikujib uni tag. Nimekaa paleee
 
Siku nikifa, naomba nizikwe na bendera ya Tanzania. Hata nikiwa na dhambi nyingi kiasi gani, malaika wakiiona bendera , hawatoruhusu nipelekwe jehanamu kwa sababu huku nilikotoka ni jehanamu tosha!

Kwanini niwekwe jehanamu mara mbili?
Duh !
 
Nlipoona jina la mchange tu linatajwa nkaishia hapo ...
 
Anaandamwa kwa sababu ya kukosekana kwa Umeme mengine ni porojo tu !!
 
Huyo Habibu Mchange amekuwa akitumika na CCM kwenye siasa chafu sana. Kuna wakati walikuwa na Zito wakiihujumu CDM, ilifikia wakati akatumika hadi kuwatengenezea ugaidi akina Rwakatare kwa ufadhilii wa Mwigulu nchemba
 
Mkuu tutaendelea kuwategemea wazungu kwa umeme au tutaendelea kuwategemea kwa kipi?
 
Huyo Habibu Mchange amekuwa akitumika na CCM kwenye siasa chafu sana. Kuna wakati walikuwa na Zito wakiihujumu CDM, ilifikia wakati akatumika hadi kuwatengenezea ugaidi akina Rwakatare kwa ufadhilii wa Mwigulu nchemba
Mimi huyu mtoto alivyohongwa pesa na Koka tu kuuza ubunge wa Kibaha mjini nilishamdharau tangu siku ile.
 
Mimi huyu mtoto alivyohongwa pesa na Koka tu kuuza ubunge wa Kibaha mjini nilishamdharau tangu siku ile.

Mchange ni mjinga sana, na amekuwa akitumika na CCM kwenye mipango mingi ya kuichafua CDM. Huyu ni mfuasi mkubwa wa Zito, kwani wamekuwa wakitumika sana kwenye operation nyingi za kuihujumu CDM.
 
Kwamba tukiga hatua tutapunguza utegemezi au ndo tutahitaji zaidi? China wamepunguza kwa USA?
 
Kwamba tukiga hatua tutapunguza utegemezi au ndo tutahitaji zaidi? China wamepunguza kwa USA?
China na USA wanategemeana mkuu. Ndiyo maana unaona hakuna anayempiga mkwara mwenzake kama hvi vinchi vyetu vinavyopewa masharti kila uchwao
 
Mchange ni mjinga sana, na amekuwa akitumika na CCM kwenye mipango mingi ya kuichafua CDM. Huyu ni mfuasi mkubwa wa Zito, kwani wamekuwa wakitumika sana kwenye operation nyingi za kuihujumu CDM.
Zitto ameharibu sana future za vijana kisiasa kwa uselfish wake.

Huyu Mkigoma mwenzake naye Abdul Nondo naye awe makini sana maana anaonekana kama mkia wa Zitto.
 
Tutaendelea kuwategemea kiuchumi. Yaani ili Mambo yetu yaende ni lazima tuakakope kwao.

Umeme wa maji ndio utazuia sisi kukopa kwao? Kipindi tunatumia umeme wa maji kabla ya gas tulikuwa hatuwategemei?
 
Kujua nani yuko nyuma inasaidia nini hasa!?
Makongamano kama haya huwa yanafadhiliwa na mashirika ya kimataifa kuzingatia unyeti wa mambo ya mazingira kimataifa...
 
Umeangalia kwenye bodi ya tanesco wapi kina nani, Kuna yule mwanamama aliyekuwa wakili wa dowans na tanesco huku na baadae kuitia hasara tanesco lakini Leo karudishwa tanesco
 
Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana

Maswali ambayo Kina Balile na Kina Pascal Mayala licha ya kuwa Wanasheria wabobevu wameshindwa kuyauliza kwenye mamlaka husika hadi leo na hatujui kwanini wanafanya hivyo?

Saidoo25.
Mkuu saidoo25 , asante, hoja zako hizi, zinafikirisha!.Hii ndio critical thinking.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…