Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
17,999
Reaction score
21,560
Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa kabisa na majirani zake kama Kenya na hiyo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na hii ni kwa mujibu wa shirika la fedha duniani.

Uchumi mkubwa wa Drc unamilikiwa na nani hasa ukizingatia mzozo unaendelea huko Kivu Kaskazini,Kusini, Kasai na kwingineko?...
 
Hizi Data umezitoa wapi?? Congo inategemewa kuwa na uchumi mkubwa lakini sio kwamba imeipita Ethiopia,Kenya au Tanzania nadhani hata hiyo link yako pamoja na kwamba sijaifungua inasema hivyo..Latest GDP PPP iliyoyoka juzi,Tanzania ya 9,Ethiopia inaongoza East Africa ikiwa ya 5,Congo ni ya 12 huku Kenya ikiwa ya 7
 
Sasa unaongea nini wakati haujafungua link.

No research no right to speak.
 
Uchumi mkubwa wa Drc unamilikiwa na nani hasa ukizingatia mzozo unaendelea huko Kivu Kaskazini,Kusini, Kasai na kwingineko?...
Congo ni zaidi ya hayo maeneo na ni nchi ya pili kwa ukubwa barani Afrika huku ikiwa na watu zaidi ya milioni 100 na rasilimali kibao.
 
Sasa unaongea nini wakati haujafungua link.

No research no right to speak.
Mzee kiingereza hujui au!Hii Jf ndio maana kila siku nasema inakosa credibility,hiyo link yako ukiisomabtu kwa nje unagundua inaongelea future sio present au huelewi kiingereza? Ukifungua link yako inasema The Democratic Republic of Congo is poised to overtake Ethiopia to become.... sentensi hiyo kwa kiswahili inamaanisha Drc inategemewa (ndani ya muda mchache ujao) kuipita Ethiopia na kuwa namba tano kwa uchumi kusini mwa jangwa la sahara..

Tatizo lako la kutokujua kiingereza lisikufanye ukawa na ubishi wa kijinga na wakati wenzio hiyo ndio field tuliyopo na wiki ya jana IMF imerelease data mpya za GDP PPP za mwaka 2026 na msimamo ni kama nilivyokwambia hapo juu
 
Sasa unaongea nini wakati haujafungua link.

No research no right to speak.
Mzee kiingereza hujui au!Hii Jf ndio maana kila siku nasema inakosa credibility,hiyo link yako ukiisomabtu kwa nje unagundua inaongelea future sio present au huelewi kiingereza? Ukifungua link yako inasema The Democratic Republic of Congo is poised to overtake Ethiopia to become.... sentensi hiyo kwa kiswahili inamaanisha Drc inategemewa (ndani ya muda mchache ujao) kuipita Ethiopia na kuwa namba tano kwa uchumi kusini mwa jangwa la sahara..

Tatizo lako la kutokujua kiingereza lisikufanye ukawa na ubishi wa kijinga na wakati wenzio hiyo ndio field tuliyopo na wiki ya jana IMF imerelease data mpya za GDP PPP za mwaka
 
Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa kabisa na majirani zake kama Kenya na hiyo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na hii ni kwa mujibu wa shirika la fedha duniani.

Takwimu ni za uongo na sababu kubwa ni DRC kuwa na mikataba na USA ya ulinzi ya hivi karibuni.
Hiyo 30b USD iliyoongezeka imetoka wapi ghafla hivyo kuipiku Ethiopia ?
 
Hongera kwao.
Na waendelee kujipanua zaidi kwa nchi na wananchi pia.
Ukiwa unafuatilia sana, utagundua kuna kitu kinapikwa na kinaiva, soon kinapakuliwa, na hatimaye migogoro kuisha Congo... Matamshi yamekuwa mengi, sifa nzuri nzuri kuhusu wao zinazidi ongezeka... Ngoja tuone
Wameshaingia kwenye mikono ya Trump
 
Mzee kiingereza hujui au!Hii Jf ndio maana kila siku nasema inakosa credibility,hiyo link yako ukiisomabtu kwa nje unagundua inaongelea future sio present au huelewi kiingereza? Ukifungua link yako inasema The Democratic Republic of Congo is poised to overtake Ethiopia to become.... sentensi hiyo kwa kiswahili inamaanisha Drc inategemewa (ndani ya muda mchache ujao) kuipita Ethiopia na kuwa namba tano kwa uchumi kusini mwa jangwa la sahara..

Tatizo lako la kutokujua kiingereza lisikufanye ukawa na ubishi wa kijinga na wakati wenzio hiyo ndio field tuliyopo na wiki ya jana IMF imerelease data mpya za GDP PPP za mwaka

Mkuu nakuomba sana, msamehe kijana wako, sio kosa lake, kosa ni elimu za hapa na pale.
 
Inaonekana lugha hata imekuja kwa mashua bado imekupita mbali sana

Isome tena halafu urudi kuandika upya yawezekana tukakuelewe

Usisite kutembelea website ya imf, achana na france24
 
Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa kabisa na majirani zake kama Kenya na hiyo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na hii ni kwa mujibu wa shirika la fedha duniani.

IMG_20260419_203553.jpg
IMG_20260419_203642.jpg
 
Congo ni zaidi ya hayo maeneo na ni nchi ya pili kwa ukubwa barani Afrika huku ikiwa na watu zaidi ya milioni 100 na rasilimali kibao.
Yeah!....nakubali hilo, rasilimali zinawapa uchumi mkubwa.
 
Back
Top Bottom