Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi unajua ni askari wangapi wa jw wamekufa huko congo? Iyo vita ni ngumu sana m23 wana sapoti mpaka kwa viongozi wa congo.Hakuna cha wazungu wala nini hao ni wa kupeleka moto tu
We dogo una matatizo ya akili, south wanatengeneza hadi silaha zao unafananisha na bongo, baadhi ya mazungu tu wanakaa kwa msouthSouth hana silaha zozote kumlinganisha na JW zaid ya meli za kivita
Tuuite SAMIAGoma ibadilishwe jina iitwe mkoa wa MWALIMU NYERERE GENTAMYCINE
Hayajui mabeberu huyuMtapigwa mchakae
Kule sio Ikwiriri
Yani sie tupigwe na vibaraka wa rwanda.,, we kweli kichaa,, hiyo rwanda yenyewe inaowatuma hao M23 hawana ubavu wa kupambana na wamba watano tu wa pale ngerengereSio rahisi kihivyo..
Tumewasumia kumapori na sasa ni masasae mazitomazito huko maporini Goma ipo salamaLeta mlejesho mkuu vita inaendeleaje huko
Jeshi la tz limeshafika huko?Tumewasumia kumapori na sasa ni masasae mazitomazito huko maporini Goma ipo salama
We mtusi usilete dharau zako hapa. Hauna lolote kwenye vita. Watu wanawaangalia tu na mtagusa nchi zote Ila kamwe hamtagusa Tanzania Kama kipindi kile si mlianza kule biharamulo na kigoma ffu waliwatoa mbio. Chezeeni huko huko drc wa wapuuzi wenzenu wanaouzana mkaonekana mna nguvu kumbe wanasalitiana wenyewe tuUnaumwa wewe
Pelekeni pua huko ndo mtawaleta kwenye ma box
wakishika wavunja amani wakawatanguliza kwa mola mnaanza lalama , mtu mweus mnafiki snAmani iwe kwenu
Nimewaza mbali sana
Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu
Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana
Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu
Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana
Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni
Very simple
LONDON BOY
Ujue ww ni tahira kbs south anatengeneza mpk magari vita anauzia mpk marekani south anatengeneza mpk helcopter za kivita uje uwalinganishe na wapasua matofari wny siraha za miaka ya 1920 ww siyo timamu ww vita ni tech nowdays sa jw wana tech ipiSouth hana silaha zozote kumlinganisha na JW zaid ya meli za kivita
Mimi ni Mtanganyika mwenzakoWe mtusi usilete dharau zako hapa. Hauna lolote kwenye vita. Watu wanawaangalia tu na mtagusa nchi zote Ila kamwe hamtagusa Tanzania Kama kipindi kile si mlianza kule biharamulo na kigoma ffu waliwatoa mbio. Chezeeni huko huko drc wa wapuuzi wenzenu wanaouzana mkaonekana mna nguvu kumbe wanasalitiana wenyewe tu
Ww jamaa nlikuwa nakuheshmu sn ila kumbe na ww ni kiaz hv hao waasi si mmeskia wana siraha za kisasa mpk vifaru vita ni tech na uchumi je tuna uchumi gn hao jw wana tech gn wakpgwa na drone wanaweza jaribu hta idondosha kwa tech ipi waliyonayo achen utoto jw wamepgana vita gn ya maana hv karibun wakashnda ipi iyoUsiidharau JW
hakuna vita ya ukombozi inayoendelea hapo goma ni kuitafuna congo basi kugawana mali na dhahabu na diamond..Amani iwe kwenu
Nimewaza mbali sana
Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu
Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana
Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu
Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana
Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni
Very simple
LONDON BOY