Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Unaumwa wewe
Pelekeni pua huko ndo mtawaleta kwenye ma box
We mtusi usilete dharau zako hapa. Hauna lolote kwenye vita. Watu wanawaangalia tu na mtagusa nchi zote Ila kamwe hamtagusa Tanzania Kama kipindi kile si mlianza kule biharamulo na kigoma ffu waliwatoa mbio. Chezeeni huko huko drc wa wapuuzi wenzenu wanaouzana mkaonekana mna nguvu kumbe wanasalitiana wenyewe tu
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
wakishika wavunja amani wakawatanguliza kwa mola mnaanza lalama , mtu mweus mnafiki sn
 
South hana silaha zozote kumlinganisha na JW zaid ya meli za kivita
Ujue ww ni tahira kbs south anatengeneza mpk magari vita anauzia mpk marekani south anatengeneza mpk helcopter za kivita uje uwalinganishe na wapasua matofari wny siraha za miaka ya 1920 ww siyo timamu ww vita ni tech nowdays sa jw wana tech ipi
 
We mtusi usilete dharau zako hapa. Hauna lolote kwenye vita. Watu wanawaangalia tu na mtagusa nchi zote Ila kamwe hamtagusa Tanzania Kama kipindi kile si mlianza kule biharamulo na kigoma ffu waliwatoa mbio. Chezeeni huko huko drc wa wapuuzi wenzenu wanaouzana mkaonekana mna nguvu kumbe wanasalitiana wenyewe tu
Mimi ni Mtanganyika mwenzako
 
Usiidharau JW
Ww jamaa nlikuwa nakuheshmu sn ila kumbe na ww ni kiaz hv hao waasi si mmeskia wana siraha za kisasa mpk vifaru vita ni tech na uchumi je tuna uchumi gn hao jw wana tech gn wakpgwa na drone wanaweza jaribu hta idondosha kwa tech ipi waliyonayo achen utoto jw wamepgana vita gn ya maana hv karibun wakashnda ipi iyo
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
hakuna vita ya ukombozi inayoendelea hapo goma ni kuitafuna congo basi kugawana mali na dhahabu na diamond..
Hata jwtz ipo kule sababu inapata dolla ya kutosha kutoka UN. Serikali inafaidika sana na mgogoro ule.

Rwanda yeye aliona msinichezee akazama kwenye buyu la asali katikati..na anailina haswa.. uganda ni the same kenya amekuja shtuka kachelewa akaingia kwa mgongo wa EAC ila ndo hivyo alishachelewa.
Pale kuna mataifa mengi na kila taifa linakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom