Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.
Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?
Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Hujui usemalo, hii nafasi unaiona ndogo lakini hujui malengo yake.Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.
Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?
Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Hao wanaolima wakiwa "maofisini" hawalimi, wanacheza tu. Kilimo chenye tija kinahitaji serious commitment and participation.Kwaio ulitaka asubir tena ubunge
Pia kwan hawez kulima hata akiwa mtangazaj mbona wengi wana lima na bado wapo maofisn punguza chuki
Njoo unirandie mimi..😁Tunarandaranda tu mtaani[emoji28][emoji28]
Unajisikiaje endapo utakuwa umetoa povu kwenye story ambayo haina ukweli wowote...Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.
Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?
Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Kitaa sio poa huku pasikieni tu 😹 hasa ukiwa umetoka kwenye life la kupokea 300K kwa masaa!!! Acha ajishkize term ijayo agombee tena mikumi huenda akapataAmemua kuwa mtangazaji kabisa
Mimi nitajuaje kama thread haina ukweli?Unajisikiaje endapo utakuwa umetoa povu kwenye story ambayo haina ukweli wowote...
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 Nimekuelewa mkuuKitaa sio poa huku pasikieni tu 😹 hasa ukiwa umetoka kwenye life la kupokea 300K kwa masaa!!! Acha ajishkize term ijayo agombee tena mikumi huenda akapata
Promo ya ijumaa ijayo siyo?
SIASA SIYO AJIRA
Prof anakuwa tena mtangazaji, aliwahi kusomea hii makitu? Au ndo ile zali la mentali
SIASA SIYO AJIRA
Watu kama Sugu na Diamond ni wakuheshimiwa sana wamekaza na wanaendelea kukaza.Kitaa sio poa huku pasikieni tu 😹 hasa ukiwa umetoka kwenye life la kupokea 300K kwa masaa!!! Acha ajishkize term ijayo agombee tena mikumi huenda akapata