Hyo 11m Kwa 6month c alikua na nyumbaMkewe ni MC yule! Kwa hela atakuwa nayo lazima sababu si kuna 250M ukiachilia zile 11M za kila mwezi
No sijawafananisha umeninukuu vibaya nimezungumzia uwekezaji wao ni watu wa kuheshimiwa.Wacha kumfananisha sugu na mashetan wewe
Hapo kwenye uwekezaj [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]No sijawafananisha umeninukuu vibaya nimezungumzia uwekezaji wao ni watu wa kuheshimiwa.
KaribuAsante mrembo
Kamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payukaHapo kwenye uwekezaj [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sugu Ile hotel yake aliyojenga
Akiwa mbunge ndo nlimwaminia
Mpaka leo aiseee
Lakin nae c alikua anakatwa mshara na bankKamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payuka
Kwani profesa je huwa ndiye anawapangia watu vituo vya kusikilizaWale ndugu zangu walio kunywa maji ya bendera ya vyama vyao vya siasa "......clouds CCM........ mimi si sikilizi Clouds sababu ni CCM......",haya sasa Prof J huyo mjengoni,sijui mtampokonya uwanachama.
Sasa si brandy yake ina sokoMbunge,mwanamuziki then mtangazaji!!
Na Kuna watu hawana ajira!
Kwani jiwe si alimkingia kifua kwa NEMC ndio walitaka kubomoa na sio bank.Kamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payuka
Kweli kabisa kama baba Levo ni mtangazajiKazi ni Kazi
Kitaa sio poa huku pasikieni tu [emoji81] hasa ukiwa umetoka kwenye life la kupokea 300K kwa masaa!!! Acha ajishkize term ijayo agombee tena mikumi huenda akapata
Nawazungumzia wafia vyama wa JF.........Kwani profesa je huwa ndiye anawapangia watu vituo vya kusikiliza
π―π―ππMtoa mada kadandia treni hajui inaenda wapi na hajaelewa why profesa J Leo alikuwa powerbreakfast. ...Profesa na jaydee wanashow mwisho wa wiki hii ,kwa muda wa wiki mbili clouds wanapiga promo hiyo show ..last week alienda jaydee powerbreakfast asubuhi na Leo kaenda profesa mahususi kwa ajili ya kutangaza show..NA SIO KWAMBA KAANZA KAZI YA UTANGAZAJI CLOUD'S
Kabisa yani mziki kwake ingekua ni kwa mazoea like ndo lifestyle sasa yeye ni biashara full time kwakweli hakujipanga na pia hakutegemea kutokua mbungeSo sad jamaa anaonekana hakujipanga alikuwa anachezea pesa
Me nilitarajia yeye now ndo angesaidia kutoa huduma kwa vijana wetu
Jibu mujarabu kabisa, [emoji817][emoji3581]Hujui usemalo, hii nafasi unaiona ndogo lakini hujui malengo yake.
Alipoanza muziki ulijua ipo siku atakuwa mbunge?
Waliojaza mavyeti makabatini wengi hawana charisma, Clouds media ni franchise na wanaangalia nani atawafaa kibiashara kulingana na ushindani ulivyo.Utangazaji ni professional inayosomewa ila kwa siku za hivi karibuni hapa tanzania umaarufu wa mtu ndio sifa ya kwanza kuwa mtangazaji. Upumbavu mtupu
kwahiyo yeye ndiye anawapangia wafia vyama ni radio au kituo kipi cha habari wasikilize?Nawazungumzia wafia vyama wa JF.........
Wafia vyama wanaiponda clouds, vip ww ni mmoja wao.....kwahiyo yeye ndiye anawapangia wafia vyama ni radio au kituo kipi cha habari wasikilize?