True..japokuwa tunahitaji professionalism kwenye media ila kwenye hizi Entertainment media utapewa kazi kwa kuwa kwanza na kipaji na popularity.Waliojaza mavyeti makabatini wengi hawana charisma, Clouds media ni franchise na wanaangalia nani atawafaa kibiashara kulingana na ushindani ulivyo.
Umetumia nguvu nyingi sana kujibu majungu...Kwa upande mmoja nimpe pongezi kwa maamuzi binafsi ya kwenda kuwa mtangazaji clouds.
Ila kwa upande mwingine wa kwangu binafsi simpi pongezi kwa uamuzi aliofanya. Kwa level yake na hassle ya mda mrefu aliyofanya, mpaka kufikia kuwa mbunge, ametengeneza brand kubwa sana.
Nilitegemea atengeze ajira kwa vijana na angalau afungue redio yake binafsi! Kwa brand yake nina uhakika ingefanya vizuri sana.
Angekuwa amefanya la maana sana kuliko kwenda kuishi kwa masharti ya mwisho wa mwezi na kufanyia kazi mawazo ya mtu.
Profesa Jay,wee ni brand kubwa hebu jiongeze zaidi, acha hizo, wee ni role model wa vijana wengi, usiwaangushe!!
Amechukua nafasi ya Nani?
[emoji817][emoji3581]True..japokuwa tunahitaji professionalism kwenye media ila kwenye hizi Entertainment media utapewa kazi kwa kuwa kwanza na kipaji na popularity.
Degree yako ya journalism haitoshi wewe kuwa radio presenter au pre-actor..inabidi uwe na kipaji na sauti na lafudhi inayoweza kusikilizika redioni..
Clouds ndiyo walianzisha mfumo huu na sasa ndiyo unaotumika sana Tz, nakumbuka Ruge(late) ndiyo alianza kusema hawezi kuwa anatafuta presenters kwa kuangalia vyeti wakati wanachohitaji ni presenter atakayevutia wasikilizaji na makampuni yanayohitaji matangazo yao yawe yanarushwa kupitia Clouds media.True..japokuwa tunahitaji professionalism kwenye media ila kwenye hizi Entertainment media utapewa kazi kwa kuwa kwanza na kipaji na popularity.
Degree yako ya journalism haitoshi wewe kuwa radio presenter au pre-actor..inabidi uwe na kipaji na sauti na lafudhi inayoweza kusikilizika redioni..
Kwa upande mmoja nimpe pongezi kwa maamuzi binafsi ya kwenda kuwa mtangazaji clouds.
Ila kwa upande mwingine wa kwangu binafsi simpi pongezi kwa uamuzi aliofanya. Kwa level yake na hassle ya mda mrefu aliyofanya, mpaka kufikia kuwa mbunge, ametengeneza brand kubwa sana.
Nilitegemea atengeze ajira kwa vijana na angalau afungue redio yake binafsi! Kwa brand yake nina uhakika ingefanya vizuri sana.
Angekuwa amefanya la maana sana kuliko kwenda kuishi kwa masharti ya mwisho wa mwezi na kufanyia kazi mawazo ya mtu.
Profesa Jay,wee ni brand kubwa hebu jiongeze zaidi, acha hizo, wee ni role model wa vijana wengi, usiwaangushe!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] anahofia Lisa asije akahama kutoka feza kwenda shule za kata [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jamaa ananjaa sana baada ya kukosa ubunge ni kama kachanganyikiwa sijui hakujiandaa alikuwa anachezea pesa
Lokole n mtangazaj aiseee [emoji1][emoji1][emoji1]Kweli kabisa kama baba Levo ni mtangazaji
ALE NA NJAA YEYE, KWA SABABU YA MITAZAMO YAKO?Kwa upande mmoja nimpe pongezi kwa maamuzi binafsi ya kwenda kuwa mtangazaji clouds.
Ila kwa upande mwingine wa kwangu binafsi simpi pongezi kwa uamuzi aliofanya. Kwa level yake na hassle ya mda mrefu aliyofanya, mpaka kufikia kuwa mbunge, ametengeneza brand kubwa sana.
Nilitegemea atengeze ajira kwa vijana na angalau afungue redio yake binafsi! Kwa brand yake nina uhakika ingefanya vizuri sana.
Angekuwa amefanya la maana sana kuliko kwenda kuishi kwa masharti ya mwisho wa mwezi na kufanyia kazi mawazo ya mtu.
Profesa Jay,wee ni brand kubwa hebu jiongeze zaidi, acha hizo, wee ni role model wa vijana wengi, usiwaangushe!!
Ile mentality ya kukaa na kusubiri salary mwisho wa mwezi ni ugonjwa mbaya sana.Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Unajuaje Kama hajawekeza?Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.
Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?
Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Bwashee usiamini kila unavhokisoma hapa Jf!
Huo ubunge alioshindwa unafikiri kampeni alifanyia nini kama sio hicho kiinua mgongo?Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.
Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?
Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Wacha kumfananisha sugu na mashetan wewe
Hata mimi nilitaka kushangaa! Maana kwa muda wake wa miaka mitano ya kuhudumu Bungeni, alikua na uwezo wa kuanzisha kituo chake cha Redio na yeye kuwa CEO!Acha uongo mtoa mada,amekaribishwa tu kwa ajili ya promo ya show yake na Jide
Nasikia amechukua nafasi ya Babra ambaye ameondolewa baada Ya kugombana hewani na masoud kipanya.... InavyosemekanaAmechukua nafasi ya Nani?
Lini hiyo mkuu na huo ugomvi ulikua unahusu nini??Nasikia amechukua nafasi ya Babra ambaye ameondolewa baada Ya kugombana hewani na masoud kipanya.... Inavyosemekana