luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hukubaliani kama Nani?Suala la kuruhusu kuchimba madini kwenye mbuga zetu sikubaliani nae!
Hilo alilisema tu ni wazi kuna watu watamshauri njia sahihiSuala la kuruhusu kuchimba madini kwenye mbuga zetu sikubaliani nae!
Tunyweni biaHili swala wa Tz wengi tuna weza tusilione lkn tukiliacha bac athari zake ni kubwa mnooo hapo baadae
Kama mwananchi wa Tanzania mwenye haki zote na rasilimali za nchi hii.Hukubaliani kama Nani?
Tafuta pesa wewe!Kama mwananchi wa Tanzania mwenye haki zote na rasilimali za nchi hii.
acha uchokozi πππ
Uchokozi gani mkuu? Hapo nimeuliza tu swali.acha uchokozi πππ
Kwa hiyo na nyie mmesha ingiwa na upofu au sio.Hilo alilisema tu ni wazi kuna watu watamshauri njia sahihi
Anauliza, tembo anakula dhahabu?Suala la kuruhusu kuchimba madini kwenye mbuga zetu sikubaliani nae!
As long ..ni kwa maslahi ya Taifa Ntaunga mkono juhudi za serikali ...yan hiyo sababu ya kijinga eti umepazoea ...umeonyesha ulivyo empty kichwani.....,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea
Hata mimi mkuu, hapa kashauriwa vibaya sana aisee. Hata ile kauli yake kwamba wanyama hawali madini hivyo kwa nini yasichimbwe ni very misleading. Hapa ninachokiona kwa mbali ni Uranium kuanza kuchimbwa kule Selous...Suala la kuruhusu kuchimba madini kwenye mbuga zetu sikubaliani nae!