Kongole Rais Samia kwa kuiokoa Ngorongoro

Kongole Rais Samia kwa kuiokoa Ngorongoro

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Hakika Mhe.Rais ametoa alert nzuri sana kuhusu kupotea kwa Ngorongoro Conservation area

Eneo linaweza kuimili population ya watu 9000 ila leo Waziri aliposimama pale Ikulu alitaja figure zaidi ya idadi ya watu 9000

Hakuna Mtanzania asiyejua umuhimu wa NCA ktk sekta ya utalii. Hii mbuga pekee duniani ambayo wanyama na binadamu wanaishi pamoja. Ongezeko la binadamu ni wazi linatishia uwepo wa viumbe hai ndani ya eneo ilo

WaTanzania ni jukumu letu kulinda urithi huu wa dunia ambao ni chanzo kikubwa cha mapato ya utalii wetu.

Ester Boserup ana theory nzuri zungumzia Populatiin grown vs Natural resource base .
 
Hili swala wa Tz wengi tuna weza tusilione lkn tukiliacha bac athari zake ni kubwa mnooo hapo baadae
 
Kama kuna zoezi litafanyika la kuondoa wananchi hapo hifadhini basi ubinadamu utumike yasitumike mabavu na haki itendeke kwa wote.
 
Hilo alilisema tu ni wazi kuna watu watamshauri njia sahihi
Kwa hiyo na nyie mmesha ingiwa na upofu au sio.
kwani hayo uliyo andika hapo juu hakuyasema tu au kuna mengine aliyasema akiwa analia na kuna mengine aliyasema tu.
MAMA akitoa boko muwe mnakubali sio kusema alisema tu.
 
,Hivi hao wanyama ni muhimu Sana kulipo binadamu?
Kama hao watu walio ongezeka huko ngorongoro Ni kutokana na kuzaliana na sio kuhamia busara ya hali ya juu itumike ikiwezekana binadamu apewe kipaumbele cha kwanza kuishi ngorongoro kulipo wanyama.
Fikiria kama wewe serikali iamue kuwahamisha kutoka kwenye maisha yenu ya asili mfano kijiji chenu chote mhamishwe tu kwa lazima wakati unapapenda na umepazoea
 
As long ..ni kwa maslahi ya Taifa Ntaunga mkono juhudi za serikali ...yan hiyo sababu ya kijinga eti umepazoea ...umeonyesha ulivyo empty kichwani.....
 
Suala la kuruhusu kuchimba madini kwenye mbuga zetu sikubaliani nae!
Hata mimi mkuu, hapa kashauriwa vibaya sana aisee. Hata ile kauli yake kwamba wanyama hawali madini hivyo kwa nini yasichimbwe ni very misleading. Hapa ninachokiona kwa mbali ni Uranium kuanza kuchimbwa kule Selous...
 
Back
Top Bottom