luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hakika Mhe.Rais ametoa alert nzuri sana kuhusu kupotea kwa Ngorongoro Conservation area
Eneo linaweza kuimili population ya watu 9000 ila leo Waziri aliposimama pale Ikulu alitaja figure zaidi ya idadi ya watu 9000
Hakuna Mtanzania asiyejua umuhimu wa NCA ktk sekta ya utalii. Hii mbuga pekee duniani ambayo wanyama na binadamu wanaishi pamoja. Ongezeko la binadamu ni wazi linatishia uwepo wa viumbe hai ndani ya eneo ilo
WaTanzania ni jukumu letu kulinda urithi huu wa dunia ambao ni chanzo kikubwa cha mapato ya utalii wetu.
Ester Boserup ana theory nzuri zungumzia Populatiin grown vs Natural resource base .