OK basically tuseme nyie ni wajanjaDah nasimulia sio kama mazuri laah!! Kuna siku nilikua na mtoto wa kiislam nimepiga tako all-night, sasa asubuhi tuko bafuni ananambia ooh kiislam ukizini inatakiwa ujimwagie maji sijui mara ngapi na blah blah nyingi...Nikasema usinitanie nikamvuta nikapiga cha mwisho.
KabisaKwa kawaida adhana inapopigwa hakuna mtu anayeruhusiwa kuongea na na miiko hii rais uhuru anaijua vyema sana kwasababu kenya kuna waislam na wanajua miiko katika ardhi yao.Hivyo kila mtu anapaswa kuepuka kuharibu ibada za wengine.
Kiufupi yupo vizuri sana ndiyo maana uwanja mzima walimpigia makofi kwa kufanya vile.Hakika ni jembe huyu jamaa.Nasi tujifunze kuhusu hilo maana kuna wengine hatujui hilo badala yake kuleta vurugu kwamba adhana ni kelele.
Kwa hiyo amani upendo na mshikamano wa taifa huanza na vitu vidogo kama hivi.
Wamechemka hapo msikitini aisee kwa kweli shughuli ilikuwa muhimu, sio adhana kwa nguvu
Huyu ni mjanja wa mjinimjini sana👍👍🤣🤣
Naona unakaribia kupasuka ndo imeshatokea hiyo sasa tufanyejeNdio tupigiane kelele aisee, sio msikitini hata Church inabidi vifungwe vifaa vya kutokutoa SAUTi, najua wanafiki watanishambulia
Ile siyo kelele , ni wito wa kwenda kumuabudu mollahHamna Cha msamaha nitasema kweli daima wallah. Kupiga kelele kwa msiba sio fair bana
According to my believe mkuuIle siyo kelele , ni wito wa kwenda kumuabudu mollah
Kabisa uzima na afya hutasahaulisha sana na kutupa kiburiHii dunia ni njia tunapita viburi vyetu sisi wanadamu havitusaidii chochote kwny huu ulimwengu.
Nipasuke kisa ujinga neverNaona unakaribia kupasuka ndo imeshatokea hiyo sasa tufanyeje
Mimi sihitaji uma nahitaji kijikoImekuuma sana eee, ebu jinyonge basi au mfate afande sele naona kama mnata kufanana vile
Adhana Sio kelele mkuu, ni wito wa kwenda kumuabudu AllahMoja ya barrier kwenye communication ni noise .Kenyatta alijua hawezi ongea kwenye noise akafikisha ujumbe ndio maana akaacha noise za Adhana ziishe ndio aendelee na hotuba.Sababu asingesikika Kasoma conmunications na kaielewa vizuri hakukariri .Bravo to Kenyatta
Wengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
Kwa watu wengine wasio waislam akiwemo Kenyatta ni kelele ndio maana hakutaka kuongea katikati ya keleleAdhana Sio kelele mkuu, ni wito wa kwenda kumuabudu Allah
Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Kwa hiyo ile sauti haina mpangilio wa maneno?Kwa watu wengine wasio waislam akiwemo Kenyatta ni kelele
Wewe tumia akili umeelewa nilichoandika kweli, au upofu wa dini unakufanya usitumie akili.Hivi wewe dada, una wazazi kweli? Mbona unampinga aliekuumba!!! Je, Unamuogopa Mola wako aliekuumba ama binadamu? Eti asitishe adhana kupisha msiba, akili za wapi hizo wewe!!!! Umeniudhi sana dada yangu [emoji35] Muogope sana Mungu